X

Tafiti zinasema ni 3% , tu ya watu wenye alama "X" kwenye kiganja cha mkono.

Historia na tafiti zinasema watu wenye alama "X" , katika viganja vyote vya mikono, huwa ni watu wenye uwezo mkubwa sana, mfano Ushawishi, nguvu, akili, kipaji na uongozi.

Mfano wao ni, Vladimir putin, Alexander the great, adolf hitle, albert einsten, Abraham licorn, Obama , Sr newtons..n.k. 👉Mimi ninayo alama "X" kwenye kiganja kimoja..
✨✨MWISHO✨✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages