Kalori ni kipimo kinachotumika kupima kiasi cha nguvu kinachotolewa na chakula. Mahitaji ya kalori kwa siku kwa wanaume ni kati ya kalori 2,000 na 3,000 & kwa wanawake ni kati ya kalori 1,600 na 2,400. Kuzidisha kalori husababisha kitambi (uzito kupita kiasi).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment