Historia ya Mama Huruma,Bibi huruma (Esther Joseph Moshi) na Chanzo cha kifo chake #MazishiyaBibihuruma


Mama Huruma maaruufu kama Bibi Huruma jina kamili Esther Joseph Moshi alizaliwa 23/01/1942 na kufariki 6/8/2021
Alipata ubatizo Lutheran church 5-2-1942
Baba yake alikuwa anaitwa Joseph Ndikila Moshi na mama yake alikuwa anaitwa Elifuraha Sawale lyimo
Baba yake na mama yake walifunga ndoa mnamo tarehe 7/2/1966 katika kanisa la mamba Lutheran church


Joseph Ndikila Moshi na Elifuraha Sawale lyimo walibahatika kupata watoto 8
Ambao ni
1: john  Ndikila Moshi(Mwanaume)

2: Eliamani Ndikila Moshi (Mwanamke)
Watoto wake Imma,John,Agenta,Apasaria,Robi,Joyce,Goodchance, Happy.

3:Eliangichopa  Ndikila Moshi(Mwanamke)
Eliadi,Vero,Unice,Salome,Seviana,natanaeliNiko,Ngiringa,Martha

4: Thomas Ndikila Moshi (Mwanaume)
Robart,Eliamlisi,Flora,Anna,Joyce,Steven,willbard,Bariki,logate,

5:Eliabriel  Ndikila Moshi(Mwanaume)
Goodbless na Goodluck, herson, naike, martha, Festo

6: Esther  Ndikila Moshi(Mwanamke)
Hendry, Grace, Agness, Mosses,Edith,Huruma,Heri

7: Andrew  Ndikila Moshi(Mwanaume)
Mke wa kwanza Sabina Mrema
Evans,Joyce,Rafael,nancy
Mke wa pili
Grayson,Eli furaha (Happy),Debora


8:Efaustine  Ndikila Moshi(Mwanamke)
Dina,achamu,Eliabu


Maisha yake (Esther Joseph Moshi)
Esther moshi alikuwa ni mtoto wa sita kuzaliwa kati ya watoto 8
Alikulia Mkoa kilimanjaro, Wilaya Moshi ,kata marangu,Kotela ,Kisambo
Baadae Alienda Uganda,akarudi Moshi then akaja dar na akajenga nyumbani kwake Kimanzichana na Nyumba yake nyingine ipo Dar es salaam ,Mtonimtongani karibu na Jupiter Hardware (p.o box 100073)
Bibi Huruma alikuwa ni Mfanyabiashara pia ni mkulima
Bibi Huruma alikuwa anasali KKKT baadae Akaja kujiunga na Kanisa la kristo Mbagala na baadae waliweza kufungua tawi la kanisa la kristo huko Kimanzichana

Documentary ya bibi Huruma
Namba ya kiwanja chake cha kwanza MTN/0/312 alikilipia city kwa mara ya kwanza 3-7-1985 na ardh 25-6-1986
No ya ardhi nyingine ni 3/590488 na  3/591792 ambayo pia aliilipia 8-7-1986

Mume wa Esther joseph Moshi (Godfrey Nimrod Emunyu)
Godfrey Nimrod Emunyu baba yake Yohana Adem mama yake yayeri Achamu
Yohana Adem na yayeri Achamu walikuwa na watoto 
1.Godfrey(Ubatizo) Nimrod Emunyu (Mwanaume)
Mke wa kwanza (Mtanzania)(watoto 5 (Hendry Godfrey Emunyu 1967,Grace Godfrey Emunyu 1969, Agness Godfrey Emunyu 1970, Moses Godfrey Emunyu 1972, Edith Godfrey Emunyu 1974))

Mke wa pili (Mtanzania)(watoto 3 (Dina (Diana Rose/ijada)Godfrey Emunyu (21-12-1974),Eliabu Godfrey Emunyu (1978), Flora (Achamu) Godfrey Emunyu (1976)))

Mke watatu (Mganda) (Alikuwa na watoto wawili(Isunu 1978, mwenzie 1990s))

Mke wanne (Mganda) (Alikuwa na watoto wawili (Edith abeja Godfrey Emunyu 1992,walisini  Godfrey Emunyu 1994))


2. Sila Arubu (Mwanaume)

3. Ekimati (Mwanaume)
Mke wa 1 (watoto 2  (Christin Achamu na Richard Emunyu))

Mke 2 (watoto 4 (Moses,Egu,Achamu,Ademu))

4.Foibe Abeja (Mwanamke)
(Watoto 8 ( Janeth,Egili,Saimoni,Patrick, Grace,Suzan,Salome,Edward))

5.Dina Rose Achamu (Mwanamke)
(Watoto 10,Mapacha walikufa, flora,Steven,Robert,julius,Echimu,Magreth Akyelo,Stela Adong'o)
Flora mwanae Mornie na minister

6. john Michael oporoti (Mwanamme)
Mke wa 1 
Mtoto mmoja Emunyu 

Mke wa 2
(Watoto 4( Arubu,Oporoti,Olupoti,mwingine achamu ))

Godfrey Nimrod Emunyu (7/1939) mume wa Esther joseph Moshi alikuwa anaishi uganda County Asureti tarafa adachari wilaya Soroti mkoa Tesso 

Watoto wake kwa Ujumla Godfrey Nimrod Emunyu na wake zake

Mke wa kwanza Esther Joseph Moshi Moshi 
bibi Esther Joseph Moshi & bwana Godfrey Emunyu
walipata watoto watatu (3) ambao ni
1:Hendry Godfrey Emunyu 1967
2:Grace Godfrey Emunyu 1969
3:Agness Godfrey Emunyu 1970
4.Moses Godfrey Emunyu 1972
5.Edith Godfrey Emunyu 1974


Mke wa pili ni Efaustine  Ndikila Moshi
 mdogo wake Esther Joseph Moshi ambaye ni Faustina
1.Dina (Diana Rose,ijada)Godfrey (21-12-1974)
2. Eliabu Godfrey Emunyu (1978)
3. Flora (Achamu) Godfrey Emunyu (1976)

Mke wa Tatu ni Janeth (Uganda)
Alikuwa na watoto wawili
1.Isunu 1978 na 
2.mwenzie 1990s

Mke wa nne Serina (Uganda)
1.Edith abeja Godfrey Emunyu 1992
2.walisini  Godfrey Emunyu 1994



Hawa ni watoto wa Esther joseph Moshi wote kwa Ujumla

1:Hendry Godfrey Emunyu
(Alizaliwa 18-5-1967 na ubatizo 9-9-1967)
Anwani ya zamani ya Hendry na Documentary zake 
Namba ya leseni ya uvuvi No (C) 93614
P.o box 7535
Dar es salaam
Tel 856177

Watoto wa Hendry ni wawili ambao ni
1.Godfrey Hendry (alizaliwa 20-11-1988)
Esther Hendry (Alizaliwa 10-11-1991)

2:Grace Godfrey Emunyu
Alizaliwa (5-10-1969)
Watoto wa grace ni watatu
Grace alifunga ndoa 17/12/2005 Na Anderson Alexander Kaduwilu
Watoto wa Kalistus Venancy Mgimwa
Emmanuel Kalistus Mgimwa (9/5/1997)
Watoto wa Anderson Alexander Kaduwilu
Shadrack Anderson (19/9/2006)
Sara Anderson (11/12/2010)

3:Agness Godfrey Emunyu
Alizaliwa tarehe 23-5-1970
Ndoa ya Agness na lance Lyimo ilifungwa huko marangu moshi (1-7-1995)
 Watoto wa Agness ni wawili
Munguatosha lance lyimo (25-5/1995)
Godbless lance lyimo (1997)

Ramadhani Kondo (Mzaramo wa Rufuji)
4:Huruma Ramadhani Kondo
Alizaliwa (14-5-1977)
Watoto wa huruma
Daniel huruma (2005)
Nuriath huruma (2011)
Esther huruma (2014)
Mudasiri & Musa (9/2021)

Mwarami Iddi (Mdengeleko)
5:Heri Mwarami Iddi
Alizaliwa 12-1-1982
Watoto wa Heri
Rehema (2011)
Asnath (5/2021)





Sababu zilizopelekea Esther Joseph Moshi kufariki ni ,maradhi ya uzeeni ( mifupa,misuli kuwa dhaifu na kinga kushuka),kuumwa kwa maralia na kifua kumbana sana kupelekea kukohoa mara kwa mara na damu na maji ilipungua kupelekea kuongezewa damu na maji kila alipopelekwa hospitali
Sababu kuuu ya kifo pia ni kung'atwa na mnyama mwenye sumu ambaye anaita honey badger maarufu kama nyegere ambaye alimvamua nyumbani kwake mida ya asubuhi ,bibi huruma alijitetea wakati akilinda usalama wa mifugo yake kama kuku ili isiliwe na mnyama huyo ,hivo nyegere alimng'ata kidole na kumparua bibi huruma na kumsababishia maumivu na kutokwa damu nyingi wakati akijitetea,lakini bibi huruma 
alipiga kelele na kupata msaada na mwisho walifanikiwa kumuua mnyama huyo,wamakonde walinunua mwili wa nyama huyo  3000 na kumla mnyama 

Documentary ya Shule ya Emma Day Care hii shule ilikuwa kwenye nyumba ya Esther Joseph Moshi iliyopo Mtoni Mtongani
Shule Emma Day Care (2000)
Teacher mkuu grace Godfrey (mtoto wa Esther joseph)


No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages