ORODHA YA MAKUNDI YA SIRI DUNIANI
(Top world secreat organisation). Tunapo ongelea makundi haya ya Siri, na maanisha ni yale makundi(Organisation), ambayo yana fanya kazi zake na kupanga mipango yao kwa siri katika kutimiza lengo katika mikakati ambayo wame jiwekea.
Makundi ya siri yapo mengi sana Duniani, lakini katika makala hii mimi nitazungumzia , makundi ambayo ni makubwa na yenye Madhara na matokeo makubwa Duniani kwote, kupitia kila msingi wa Kundi(Organisation husika). Katika pita pita yangu na baadhi ya tafiti zangu, hususani apa Tanzania , nimegundua kwamba watu wengi hawa jui kuwa Duniani kuna makundi ya Siri ambayo yana endesha shughuli zake kwa siri, Maana watu wengi wana zani kila mtu mwenye mafanikio hususani watu maarufu kuwa ni FREEMASON.
Kumbe yapo makundi mengi sana ambayo yanafanya kazi zake kwa mtindo huo kama wa Freemason na yamesambaa Duniani kwote, hivyo jua kuwa Sio freemason tu, yapo makundi mengine na yana member hivyo hivyo.
Haya makundi , ndio yanayo husiswa kubeba mambo mengi makubwa yanayo fanyika hapa sasa duniani, hususani mabaya na haya makundi ndio yanayo daiwa kupanga mipango yote ya dunia iwe mibaya au mizuri , hususani katika kufanya harakati zao za kutimiza mambo yao.
Haya ndio makundi yanadaiwa kuwa na Makufuru, Ushetani, na matukio mengi ya kinyama .mfano Ugaidi, Kafara, Cloning(utengenezaji wa viumbe fake), Vita na hata utengenezaji wa viumbe vya ajabu. 👉Katika makala hii nitaenda kuyaelezea makundi haya ya siri, kila kundi kwa kina.
Makundi hayo ni FREEMASON, ROSICRUCIANS, SKULL & BONES, THE KNIGH TEMPLAR, ORDO TEMPLIS ORIENTIS, ILLUMINAT, THE PRIOTY OF SION na HARMETIC ORDER OF THE GOLDEN. ✨✨✨✨
ROSICRUCIANS.
Hili kundi (Organisation) lilianzishwa miaka ya 1614-1617, Nchi ujerumani. Historia ya hili kundi inasemekana, asili yake ni Misri ya kale , wazungu wali iga na kuchukua tamaduni hiyo kisha kuanzisha hili kundi.
Hili kundi, lili kuwa lina husisha sana Wanasayansi, Makuani na watu ambao walivutiwa na kundi.
Sasa baadae hawa Jamaa walianza kuingia deep na kuanza kujiusisha katika mambo ya Paganism, science na kiroho. yani walianza kuamini kwote kwote(shetwain na science)
Walianzisha, Order yao ambayo ilikuwa inasema " Kujenga imani thabiti kuhusiana na mambo ya kale" Walianza kuamini katika ulimwengu wa kawaida na ulimwengu wa vitu visivyo onekana.
Na katika imani yao wana hatua 54, ambayo iyo sasa ina usisha , vitu visivyo onekana katika ulimwengu wa kawaida, wao huita demgods(miungu). Unambiwa hawa jamaa ni noma sana, kwasababu wana uwezo wa hali ya juu, na wana amini wao ndo wanasayansi wa kwanza na wachawi wa mwisho, yan hatakuja kutokea mchawi zaidi yao, haya yali semwa na michael maier mmoja wa member.
Hawa ni zaidi ya vikundi vyote, freemason na illuminat wana wa heshimu sana hawa na hata baadhi ya alama na hata mambo mengi wame iga kwa hawa jamaa, kiasi kwamba wana waogopa na hata katika zile degree 33, za freemason, degree ya 16 , inaitwa the knight of the Rose crorx.
Yan iyo ni level ya chini ya rosicrusian, na maanisha mtu mwenye degree 16, katika freemason, yan huyo ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana, lakini akija kwenye kundi la rosicrusian, anakuwa ni mtu mdogo sana yan mwenye level ya chini.
Inavyo semekana hawa wana uwezo wakuishi maisha ya kawaida na ya ulimwengu usio onekana,ambao kwao mtu wa aina hiyo wana mwita Avatar, mfano , ni ile movie ya avatar ya james cameroon, wametoa mfano wa maisha ya hawa jamaa .(invisible govement). Hawa , wana uwezo wa kuongea na Mashetani, mfano katika level zao , wana husisha level za kuongea na malaika , ambapo wana husishwa kuwa ni wale malaika walio tupwa Mbinguni. wana husiswa na Azazel ambae ndie anae wapa akili na teknolojia.
Wapo watafiti wanao amini hili kundi, ndio order ya juu kabisa kwa wale wa mlengwa wa kushoto(shetani). ✨✨✨
FREEMASON :hawa hufahamika kama ni wajenzi huru,na hawa inasemekana wamekuwepo toka miaka mingi iliyo pita kabla hata ya yesu kuja kipindi cha enzi za mnala wa babeli,kutokana na sababu fulani hili kundi lili vunjika na kusambaa sehemu tofauti tofauti hapa duniani na kipindi hicho hichi kikundi kili kuwa kina jishughurisha na ufundi uwashi na watu wake walikuwa ni mafundi wahali ya juu kutokana na akili nyingi walizokuwa wakitumia katika ujenzi ndomana mpaka leo alama zao ni vifaa vya ujenzi.
Hili ni kundi ambalo lina wafuasi wengi kuliko makundi yote ya siri, inakadiliwa kuwa na wana chama hai, 600,000 , Duniani, hii ni kwasababu wao freemason wame jiweka hadharani tofauti na makundi mengine ya siri.
Ilikujiunga na freemason ina hitaji mtu , mwenye Imani yoyote ya Mungu, au mungu.
Freemason, asili yake ni Misri, katika historia ya misri ya kale ,na baada ya miaka, kuanzia miaka ya 894, tamaduni hii ili anzishwa Uingereza wakati wa utawala wa Kingi Athelstan.
Freemason, wanafanya makutano yao katika , majumba ambayo wao wana ya ita lodge na kupanga mipango yao inayo husiana na chama hicho.
Lodge ya kwanza, ili anzishwa na James anderson, huko uingereza , iliyo itwa Grand lodge of England.
Freemason, ilianza kuwepo adharani na kuwavutia watu, kuanzia miaka ya 1717 , nchini uingereza baada ya kuchukua baadhi ya mbinu kutoka kwa Rosicrucian.
Kwa ujumla Freemason, Wana Degree/hatua kuu 3, na hizi zina tofautiana kutokana na ukubwa wa kila Degree/hatua , ambayo mwanachama anapitia ,na hizi degree sio kwamba inakuhitaji uingie darasani ili kuzipata hapana , hizo zimewekwa kwa mfumo ambao chama kimejiwekea.
Katika hizo degree tatu, Degree/ hatua ya 1 inaitwa, APPRENTICESHIP( hii ina husisha wale wanachama wa chini , na wengi wapo hatua hii. mwanachama huyu, yeye yupo tu lakini hajui ukweli halisi wa chama hichi, hawa wengi wapo kwa ajili ya mafanikio tu..kwa ufupi huwa wanaitwa Trainner). Degree/hatua ya Pili, ina itwa JOURNEYMAN (hii inahusisha wale wanachama ambao , tayari wameshapata elimu na wanajua wapo katika freemason kwa lengo gani, hawa wanachama wapo wengi , na hawa ndio washawishi wakubwa katika .. ✨✨✨✨
FREEMASON:Degree ya 3 ( hii ndio hatua ya juu ya Fremason kwa ujumla Duniani, huitwa"Degree of the Craft", na mwanachama mwenye Degree 3, anaitwa Mastermasonry/Grand master, hawa ndio wapangaji wa mipango, hawa ndio wanao jua siri ya free masoni na hii degree unaipatia katika Blue Lodge.
Freemason, imegawanyika katika Vyama mbali mbali lakini vyote hujulikana kwa jina la freemason, na kila chama kina jiendesha kwa misingi yake, mfano York rite na scottish rite.
York rite, hii inapatikana marekani katika lodge za huko, na katika york rite , wao waliongeza degree 10, za ziada, lakini huwezi kupata hizi degree bila kuwa na degree tatu , ambazo ndio msingi wa freemason Duniani kwote..na katika York rite degree ya 10, na maanisha ya 13, ukijumlisha na zile degree tatu za msingi, hiyo ni hatua ya juu ambayo inaitwa the Order of the Temple, na mwanachama mwenye degree hizi anaitwa "Knight templar". Katika Scottish rite, katika chama cha scotiland, kupitia Lodge zao, wao waliongeza Degree 30, na kuzifanya ziwe 33, na huwezi kupata hizi degree bila kuwa na degree 3, za msingi. katika hizi degre, degree ya 32, ndio degree ya juu kabisa ambayo mwana chama mwenye hatua hii anakuwa Master of the royal secreat, siri zote za freemason unapewa.
Japo katika scottish rite , kuna jumla ya degree 33, lakini freemason wana amini degree ya 33, haipo, kwasababu ni adimu sana , labda mtu mwenye IQ, kubwa kama 160, na kama wapo basi wana fahamika na freemasoni wenye degree za juu kabisa.
wapo watu wanao amini labda hii degree ya 33, hii ndio degree inayo muhusu Lucifer.. pia baadhi wana amini Albert pike, mwandishi wa kitabu cha "Morals and dogma" alikuwa na degree 33, lakini wapo ambao wana amini hakufikia hatua hiyo.
Freemason ni chama ambacho kina daiwa kuwa na mambo ya siri mengi, na hawa inasemekana wanachama wake wengi wenye degree za juu , wapo katika chama cha Illuminat.
Wanadaiwa kuwa ni kundi linalo endeshwa na Illuminat, katika mpango wao wa kuleta Utawala mmoja wa dunia (New Word Order) ambao inasemekana ni waku mwabudu shetani.
Freemason wanadaiwa kumwabudu Lucifer na Shetani, na katika kutoa kafara.
ILLUMINATI; huaminika kama ni kundi maalumu la watu ambao huthibiti masuala ya uongozi wa dunia ,na kuthibiti kila kitu ili kuunda utawala mpya wa dunia yani "New world order" (NWO). Iluminat ilianza nchini ujerumani enzi za kuelimika na kustaarabika kwa barani ulaya(1685-1815) ,lilikuwa kundi la siri sana ambalo lili anzishwa mwaka 1776 katika eneo la bavaria nchini ujerumani.
wanachama wake walikuwa watu wenye elimu ya juu na wasomi. kusudi lao lilikuwa ni kuungana na kupinga pamoja na kukabiliana na makundi ya kidini hasa dini ya roman katoriki ili kutimiza lengo lao la kuunda utawala mmoja dunian ambao uta abudu dini moja ambayo wata iunda wao .
Lakini kwa miaka hiyo ilishindikana , kutokana na kuwa na wanachama wachache, na wakati huo dini ya roman catholic ilikuwa na nguvu sana , hivyo walifanikiwa kulisambaratisha ili kundi.
Miaka ya 1850, alitokea bwana Albert pike, huko marekani..Huyu ndie msingi wa illumanti, huyu anaheshimika kwa kuleta misingi ndani ya Illuminati na Freemason.
Illuminati, maarufu ni , Adolph von Knigge, Adam weishaupt, Albert Pike, David rockfeller na Jacob rothschild.
Illumunati hawa wana shirikiana na Freemason kwa 100% na tunapo itaja Illuminat huwezi kuwaacha freemason, kwasababu wanachama wote wa Illuminati ni wanachama wa Freemason.
Mtafiti na mwandishi wa kitabu cha "blue blood, true blood and creation" Stewart swerllow, alibainisha na kusema kwamba Illuminati ina jumuisha freemason wenye ngazi ya juu(Degree 3), pia ngazi ya juu ya illuminati huitwa "Pindar" , ambae hawa ni fullblooded humanoid. mfano reptilian/lizard people , ndio wenye uwezo ata wa kunena na mkuu wao.
Illuminat, kwasasa ndio , Chama ambacho kimechukua umaarufu , kupitia mpango wao wa New world order.
Illuminat wana ,tekeleza mikakati yao kupitia washirika wao, haswa katika familia( bloodline) zao 13, ambazo ndio misingi ya utendaji wa kazi katika Illuminat.
Familia hizo ni; Rothschild, Rockfeller,Onassis, van Duyn, Freeman, Reynolds, Kennedy, Dupoint, Li, Russeff, Collins, Bundy na Astor family.
No comments:
Post a Comment