alisafiri kutoka India , New delhi, alipokuwa anaishi , mpaka Sweden Kwan Baiskeli

Mnamo , Mwaka 1978, mtu mmoja Raia wa india, jina Pradyumna kumar wa kipato cha chini, alisafiri kutoka India , New delhi, alipokuwa anaishi , mpaka Sweden, kwa kutumia baiskeli, kwa lengo la kwenda kukutana na mpenzi wake , mswedeni Charlotte ambae alikuwa anatoka katika familia ya kitajiri.
Inadaiwa bwana huyo alifanya hivyo, kwasababu alikuwa hajakutana na mpenzi wake huyo kipindi kirefu, kutokana na umaskini alionao haikuwa rahisi kufika huko.

Bwana huyo alikuwa ni mchoraji, mchongaji na mbunifu, hivyo mwaka 1978, aliamua kuuza kila kitu chake ikiwemo nyumba na kununua Baiskeli , ambayo aliitumia kusafiria kwenda sweden, Gothenburg, kwa miezi 4, huku akipita katika nchi 8, hadi kufika huko.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages