Je, umesha wai kuota ndoto unakufa ?..Na kama umeshawai kuota ndoto ya mtindo huo ,Umesha wai kujiuliza kwanini Punde unapokuwa unaota Unashtuka kabla haujafa kabisa..? , yani unashtuka ukiwa katikati ya kitendo hicho.
Katika soma yangu, Niliambiwa na mtafiti mmoja , kwamba sikuzote mwili unapo kuwa kati hali ya tofauti na ulivyo zoea, mfano , Kutishwa , mshtuko , uoga n.k, huwa unatoa homoni ya kujiami inayo itwa Adrenal , ili kukabili hali hiyo ndomana unakuta mtu unashtuka.
Lakini, nili jaribu kufikiri, nikapata wazo , ni kwamba , ninanyo ona mimi , Tunashtuka kipindi tunapo ota ndoto kuwa tunakufa, kwasababu , Ubongo hauji nini kinatokea baada ya kifo.
Nasema hivyo kwa mantiki ya kwamba , ubongo ndio msingi wa ndoto, Ubongo ndio unao kufanya uote , na sikuzote mtu akifa ina maana mwili wake haufanyi kazi tena kwa ujumla, ikiwemo na ubongo pia..Sasa ubongo utawezaje kukufanya uendelee kuota umekufa wakati mtu ukifa Ubongo unakuwa haufanyi kazi?
✨✨MWISHO✨✨
No comments:
Post a Comment