Mungu yu mwema siku zote katika maisha yetu. 👆 ni picha ya binti mmoja wa kijelumani anayeitwa juliane koepck aliyezaliwa october 10 1954 uko uko ujerumani.
Alifahamika kama juliane dissler, akiwa katik ndoa maana ake ilo jina mwishoni ni la mme wake. Alikuw na tahaluma ya wanyama ( mammalogist). Mnano 24 dec. 1971 yeye pamoja na mama ake walisafiri kwenda kumuona baba ake aliyeish uko pucallpa kwa usafiri wa ndege aina ya Lansa flight 508. Baad ya mda katika safar hali ya hewa ikabadalika na hali ya mvua inayoambatana na radi nyingi ikaanza.
Badae ndeg yao ilipata ajali kwa kuvunjwa na radi katika vipande vipande. Juliane ni mschana pekee alifanikiw kuwa hai katik ndege iyo baada ya kudondoka akiwa pamoja na siti ( seat) yake adi chini kma maili 2 ivi.
Aliishi katika msitu wa amazoni kwa siku 9 kabla kuja kuokolew na wTu walioluwa wakipiga harakati zao katika sehem ya maji kalibu na msitu huo.
Akiwa katika msitu huo hakukpta nafasi ya kulal kwa sabab alikuwa akishambuliwa na wadudu, na alijalibu kumtAfuta mama ake ambye akikaa nae siti ya kalibu lakini hakumuone. Ambapo taarifa za msiba wa mma ake zilifahamika siku chache baadae.
No comments:
Post a Comment