"Mo Dewji" amekamata nafasi ya 14 kwa Matajiri zaidi Afrika

"Mo Dewji" amekamata nafasi ya 14 kwa Matajiri zaidi Afrika akiwa na Utajiri wa TSH Trilioni 4.4. Lakini kwa matajiri vijana bado ameendelea kukamata nafasi ya 1. Pia bado nafasi ya kwanza inashikiliwa na Aliko Dangote ambae ana utajiri wa TSH Trilioni 23.7

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages