Hans Steininger, aliishi Austria, miaka ya 1500s, huyu ndie mtu anae shika record, yakuwa ndie mtu mwenye ndevu nyingi na ndefu kuwai kutokea Duniani, alikuwa na ndevu zenye ulefu wa mita 1.4.
Hansi alikuwa anajivuna sana na ndevu zake, sasa kuna siku alipokuwa Nyumbani kwake, ulitokea moto ghafla, na alipo jaribu kukimbia, Kwa bahati mbaya alikanyaga ndevu zake na kuteleza kisha kudondoka chini, ambapo alidondokea kichwa na kufa hapo hapo baada ya shingo kutenguka.
Huyo alijivuna sana na ndevu zake ,lakini ndevu hizo zili muuwa. ✨✨MWISHO✨✨
No comments:
Post a Comment