Kulingana na utafiti, watu wanaovuta bangi

Kulingana na utafiti, watu wanaovuta bangi wanaweza kushiriki tendo la ndoa zaidi kuliko wasiovuta. Watafiti wamedai wanawake na wanaume wanaotumia bangi kila siku wana uwezo wa kufanya tendo la ndoa 20% zaidi ikilinganishwa na wasiovuta.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages