Uyu jamaa anaitwa Jeison Orlando kutoka , Maracay nchini Venezuela, Huyu jamaa ndie anae shikilia record ya kuwa Binadamu mwenye MGUU/FEET, mkubwa na mrefu zaidi Duniani toka mwaka 2014 na aliingizwa kwene Guiness book of record.
Mguu wake wa kulia unaurefu wa Cm 40.1, huku wa kushoto ukiwa na Cm 39.6, na anavaa viatu size 47.
Unambiwa huyu jamaa viatu , huwa anaagiza moja kwa moja toka kiwandani , na viatu anavyo vaa huwa kitaalamu vinaitwa "NDONGA" ✨✨MWISHO✨✨
No comments:
Post a Comment