MAPENZI & MIKOSI
In Every Successfull Man There Is Women Behind" (Kwa Kila Mwanaume Aliye Fanikiwa Kuna Mwanamke Nyuma Yake) Ni Ukweli Usio Pingika Lakini Sio kwa 100% Lakini hili lina chagizwa na vitu fulani fulani katika Maisha. -
Kama Wanawake Ndiyo Chanzo cha Mafanikio Kwanini Wakati Mwingine isiwe kinyume chake? Katika maana Wao wakati mwingine Wana kuwa chanzo cha mwanaume kuto kufanikiwa! Ingawa Sio kwa 100% pia. -
Katika Saikolojia Ya Mahusiano Na Mapenzi Tuna ambiwa Mwanaume kuwa na mwanamke anaye kufaa Na Mwanamke kuwa na mwanaume anaye kufaa, Nilipata Wasiwasi kidogo siku Nilipo kutana na Sentensi hii "Mwanaume Ukiona Ume kutana na mwanamke ambaye yupo perfect (mkamilifu) kwa Asilimia kubwa Basi yawezekana Kuna aliye mfanya Awe mkamilifu kwa kiasi hicho hivyo moja kwa moja inawezekana huyo sio wako".
-
Daima Mbegu huwa haibadiliki lakini mizizi, shina, matawi na majani ina badilika kutokana na mazingira, kukiwa na mazingira wezeshi kubadilika ita badilika kama hakuna mazingira ya kubadilika kamwe haito badilika, -
Yapi Ni Mabadiliko Sahihi! UMBO au RANGI? Tuachane Na Hilo, Kila Mwanamke Ni mzuri kwa mwanaume fulani na kila Mwanaume Ni mzuri kwa Mwanamke fulani, Ukiona kasoro au kitu Tofauti kwa Mwanamke/mwanaume ambacho Unahisi ni kikwazo kwako fahamu Kuna anaye weza kuhandle hicho kitu. -
Mwisho Tusiwe Na Tabia ya kusema Tuta badilishana mbele kwa mbele pasipo kujua kama utakua na uwezo wa kumbadilisha na kumvumilia Ndiyo maana tuna ambiwa kila kitu kipo kwa sababu fulani hivyo husi jichimbie shimb kwa kudandia kisicho chako kwasababu ya Tamaa ya kitu fulani tu, Tafakari! -
Linda Goodman katika kitabu cha LOVE SIGNS Kuna sehemu ame andika kuhusu SEX MEDITATION, Bila Shaka Tumesha Wahi Kusikia Kuhusu Mikosi Nina Ogopa Kutumia Lugha ya bahati mbaya kwasababu hakuna bahati ambayo ni Negative (Hasi) Kwa kawaida bahati Ni Nzuri. -
Kuhusu Tendo la ndoa na Utajiri/Umasikini (Wa Ki fikra/Mawazo na Kipato) Ana eleza uki fanya tendo la ndoa na mwanamke/Mwanaume mwenye mkosi, utakumbwa na ma balaa, mikosi na Umasikini (fikra/Mawazo na Kipato). Uki fanya na mwenye bahati, mambo yakunyookea. -
Nn Chanzo Na Utafahamu vp?
-
MAPENZI & MIKOSI
-
Tabia za Kurithi, Mila na Tamaduni, kuto ridhia kwa wazazi kwa wapenzi wawili kuwa pamoja, Moja Kati ya wapenzi kuto ridhia kuingia kwenye mahusiano na mwenzie lakini wapo kutokana na shinikizo fulani, -
Kwenye Saikolojia Kuna Sex differences kama vile Sexual dimorphism (Kuwa na Tofauti zaidi ya ile tofauti ya kimaumbile ya kike na kiume), Cognition(Uwezo wa Kufahamu na kuelewa mawazo ya mwingine, uzoefu na hisia), personality (Haiba ya mtu na utu), Aggression (Uwezo wa kuhimili mambo), Emotions (Mihemko) na Hurka. -
UTA FAHAMU VIPI?
Una Takiwa kuacha kufuata Mihemko na Tamaa za mwili wako, Isikilize zaidi sauti ya kutoka Ndani Yako, Kuna Wakati Mwingine kila unapo kutana nae ghafla amani ya Moyo ina toeka, Unakua Una jisikia tofauti kidogo au sana, Na ukishaona Una taka kufanya kitu ghafla Kuna Tokea nafsi 2 (Fanya, Usifanye) lazima uwe makini kwa unacho hitaji kukifanya. -
Kwa Upande mwingine Kipimo au Jinsi ya kujua mwenye balaa na mikosi Kuna vitu lazima vita tokea,
Kwa kawaida sisi Binadamu Tuna kitu kinaitwa "Warning" Inaweza ikawa kwa sauti, Hisia na wakati mwingine Unaona kwa macho kabisa lakini tatizo linakuwa jinsi ya kuitafsiri ile warning. -
Viashiria vina kua hivi Unaona kila dalili za kumkosa zinatokea ila unalazimisha,Tokea Una mnatongozana dalili zina onekana lakini tuna tabia za kupotezea, Mtapanga siku ya kukutana siku ikifika anakuja na kukumbia "Nipo kwenye Siku Zangu", Mtaahirisha.
Mnapanga Siku Nyingine mara Unajikuta Siku hiyo kwako Kuna mgeni Kwenda Guest Hauna Pesa! Mnahairisha. -
Mnapanga Siku nyingine Ghafla siku hiyo unaanza kuumwa! Mnahairisha, Siku Nyingine pesa unazo,mnazunguka Guest, Lodge Na hoteli moja hadi nyingine unakuta vyumba vimejaa au unapata chumba, Halafu Mmesahau Kinga, Siku nyingine ume kumbuka Kinga ghafla mwanaume Una Pata Tatizo la Erectile dysfunction (Uume Kuto Simama) Wakati hakuwahi kuwa na Tatizo hilo, ujue hizo zote ni dalili za kukuepusha, ukilazimisha ujue unatafuta Majanga. -
Na kwa wale ambao Mwishoni Wana Fanikisha Dhamira zao Kadri ya Mila na Desturi Wana shauriwa kuto ondoka bila kuoga Wana amini Una ondoka na Mikosi Ni rahisi hata kutapa mabalaa ukiwa Njiani
No comments:
Post a Comment