UTATA WA DENVER'S AIRPORT.
Huu ni uwanja wa ndege unaopatikana Mjini Deniver, colorodo, nchini Marekani.
Nimoja ya kiwanja kikubwa, na ujenzi wake ulitumia ghalama kubwa , yapata $ 2 billion.
Deniver airport, ujenzi wake ulifanyika mwaka ,1994 ,na kufunguliwa lasmi mwaka 1995, ni kiwanja chenye balabala 16, za kurukia ndege zenye urefu wa Futi 16,000 ,nikiwa na maana ndege aina yoyote inaruka apo.
Sasa tukiachana na hayo, kuna mambo mengi ya kustaajabisha ambayo yapo chini ya kapeti, ndani ya uwanja huo.
Watu wengi wana amini ujenzi wa kiwanja hicho, ni zengwe la kuficha ukweli halisi wa sehemu hiyo, watu wengi wana amini hiyo ni sehemu ya kishetani ambayo Illuminati, wana kutana na kufanya mipango yao ya new world order , kiasi kwamba cha kutajwa kama makao makuu ya Illuminati.
Hayo yametokana na viashiria ambavyo dhahili vinaonyesha kuwa ni kweli.Usichokijua katika uwanja huo kuna Sanamu ya "Giant horse" falasi mkubwa ,yenye urefu wa futi 32, mwe macho mekundu yanayo waka, ambapo hii rangi ya blue na nyekundu inawakilisha wale freemason wa hatua ya juu ambao ndio illuminati.
Na usichokijua mtu alie jenga sanamu hiyo "Luiz jimenez" alikufa kwa kudondoka katika sanamu hiyo punde alipo maliza kuijenga.
Ndani ya uwanja kuna michoro ambayo haielezeki, mmoja ukimwonesha picha ya shetani akiwa anaruka, na kuna sanamu ya "Anubis" , huyu alikuwa mungu wa kifo katika Misri ya kale.
Ndani ya uwanja, kuna vyumba vya chini, lakini hairuhusiwi mtu au mfanyakazi wa uwanjani apo kuingia, hawajui nani anaingia huko au vilijengwa kwa lengo gani, lakini wapo wanao amini huko ndiko Illuminati wanafanyia mikutano yao.
Pia ndani ya uwanja kuna jiwe lamsingi lenye alama ya freemason iliyo andikwa "the most worshipfull Gland lodge" ikiwa na nembo ya pyramidi/pembetatu.
Ukiwa angani mfano ndege, alafu ukauangalia uwanja huo, utaona unaonekana kama alama ya "Nazi swastika" na wapo walio enda mbali zaidi na kusema , uwanja ulijengwa , 1/9/1994, ukijumuisha yan 1+9+1+9+9+4=33 ambayo ndio order ya juu kabisa ya freemason.
Kingine ndio uwanja pekee ulio zungushiwa fensi kwote , kiasi kwamb mtu unakuwepo ndani, pia kuna maandishi makubwa "DZITDIT GALL" ambayo ni Tata. ✨MWISHO✨
No comments:
Post a Comment