Vitu vinavyokusaidia kuzuia kwikwi

Vitu vinavyokusaidia kuzuia kwikwi (chechevu): vuta magoti yako usawa wa kifua na inamia mbele, kunywa maji ya baridi sana, tafuna sukari, tafuna limao au lamba siki (vinegar).

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages