Bonde la ufa nchini Tanzania kuna hifadhi kubwa ya hewa ya helium

2016, wanasayansi wa chuo kikuu cha Oxford waligundua kuwa kwenye bonde la ufa nchini Tanzania kuna hifadhi kubwa ya hewa ya helium inayotosha kutumika dunia nzima kwa miaka 14. Majaribio ya uchimbaji yanatarajiwa kuanza mwaka 2020. Helium hutumika kwenye vifaa mbalimbali kama mashine za MRI hospitalini, nishati ya nyuklia kwenye maroketi n.k

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages