QUANTUM IMMORTALITY - 03

QUANTUM IMMORTALITY - 3
-
Na Wakati Mwingine anakua kwenye parallel universes katika maana ana kuwa yupo katikati kwa lugha nyingine anakua kwenye Ulimwengu zinazo shabiana. -

Hii Ni Kadri ya Mwana Saikolojia William James, Hans Maravec na Bruno Marchal kuhusu QUANTUM IMMORTALITY. -

Baadhi ya immortals Ni Nicolas Flamel huyu ndiye aliye gundua kitabu cha Abraham, 
Ziuardu, Ashwathama the Kaurava warrior, Sage Markandeya akiwa na Miaka 60 ali bainika kuwa immortal, -

Mara Baada Ya kuishi kwa karne nyingi Achilles, Helen, Ino, Memnon, Menelaus na Peleus, hawa kwa vinywa vyao walisema walipata uwezo huo wa physical immortality kutoka kwa miungu yao,
-

The Wandering Jew, Huyu alikua Fundi viatu, alikuwa tokea karne ya kwanza Kabla ya Yesu Na hata baada ya Yesu, 
John the Apostle, Kadri ya Elimu ya Teolojia huyu ndo aliye tajwa kwenye Bible, kitabu cha Yohana 21:21-24, -

The Three Nephites, majitu haya matatu yana elezwa kwenye BOOK OF MORMON kwamba yalipewa nguvu za pekee kabisa za kukishinda kifo, Sir Galahad, Merlin , Cain (yule aliye muua Abeil), Matiu Turipa na Thitonus, hawa ni baadhi tu unaweza kusoma vitabu vya QUANTUM IMMORTALITY au PHYSICAL IMMORTALITY kufahamu mengi zaidi. -
MWISHO -

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages