QUANTUM IMMORTALITY - 4-
Naona Mada Imekuwa Ngumu Kidogo,
Kwanza Awali Ya Yote Tunatakiwa Kufahamu Kama ulizaliwa basi utakufa, utakufa kwa Mtindo Gani? Ni Siri ya Mwenyezi Mungu Na Wewe Mwenyewe. -
Urefu Wa Maisha Na Misukoko Ya vifo anayo pitia Binadamu, Ndivyo vinavyo mfanya Mtu Kuwa Immortal, Mtaani Kuna Msemo Tuna Penda Sana Kuutumia "Kama Kwenye Hili Hauja Kufa Basi Hauto Kufa Tena"
Sio kwamba Immortal hawafi la hasha Wana kufa lakini hawawezi kufa wakiwa katika Ulimwengu huu wa kawaida kwasababu Tayari wamesha ondoka katika huu Ulimwengu wetu wa kawaida. -
Ulimwengu wa kawaida VS Ulimwengu Mbadala, Ni sehemu mbili tofauti ki uhalisia lakini Ni sehemu moja kwa muonekano, Mwili ubaki kwenye Ulimwengu wa kawaida lakini Akili, fikra na roho (Uhai) ndo vina enda kwenye Ulimwengu mbadala. -
Mtu akiishi Miaka Mingi Anakua Immortal Automatically Ni Kwasababu kwenye maisha Kuna Misuko suko mingi ame pitia kama magonjwa na majanga Mbali Mbali katika maana ame umbwa na uwezo wa kupambana na kifo hadi uwezo wake utakapo fika mwisho.
Immortal Artificial, Huyu Ana anza kuwa hivyo mara tu baada ya kuepuka kifo kwa hali ambayo ile situation ya kifo inge mtokea Binadamu mwingine lazima angekufa. -
Kwahiyo Huyu ataendelea kuishi kama kawaida lakini Tuna Sema Ni Vigumu kufa kwasababu anaishi Ulimwengu wa kawaida lakini uhai wake upo kwenye Ulimwengu mbadala Hivyo Ni Vigumu kufa kwasababu kinacho zulika Ni mwili tu, huo mwili unaweza ukaupiga ukaufanya chochote lakini hafi, uhai wake tayari ulisha ondoka katika Ulimwengu wa kawaida.
Sasa ili afe Ni lazima awe katika Ulimwengu mbadala, Tatizo ni kwamba uta fahamu vipi kwamba saizi yupo Ulimwengu wa kawaida au Ulimwengu mbadala? Ikitokea ame kufa basi fahamu amekufa akiwa kwenye Ulimwengu mbadala. -
Halafu sio kila mtu ana weza kuwa immortal Ni baadhi ya watu na hakuna uthibitisho unao eleza mtu wa aina fulani ndo atakua Immortal au ana Uwezo wa kuwa immortal ina tokea tu, ingawa kwa Tafiti Zina Onyesha wengi Ni wale wanao taka kudhuruliwa uhai wao. -

No comments:
Post a Comment