QUANTUM IMMORTALITY - 02

QUANTUM IMMORTALITY - 2
Mara Baada Ya Mtu kupotelea kwenye Ulimwengu mbadala, uhalisia wake unakua huko kwenye Ulimwengu Ambao anakua ameenda, Lakini huyu mtu Asilimia kubwa Ya maisha yake yanakua katika huu Ulimwengu wa kawaida, -

Mtu wa mtindo huu 
ana amini yeye yupo katika Ulimwengu wa kawaida na anatakiwa kuwa katika Ulimwengu wa kawaida, lakini wakati huo wote anakua hajielewi. -

Mara nyingi anapo fika katika Ulimwengu wa kawaida ana fika kujitafuta yeye mwenyewe, Mara Nyingi ina kuwa rahisi kwa mtu huyu kuamini kila anaye muona mbele yake ndo yeye, kama Una fuatilia vizuri immortal Wana Asili ya Fujo Fujo, hii inakuwa katika hali kujirudisha katika Ulimwengu wake wa awali. -

Na kwasababu huyu mtu tayari amesha ondoka katika Ulimwengu huu wa kawaida, uwezi uka ondoka uhai wake pindi anapo kuwa katika Ulimwengu huu wa kawaida, Hapo ndipo msingi mzima wa QUANTUM IMMORTALITY, -

Hivyo ili aweze kuuawa ana Takiwa awe katika Alternative Universe, Ni wakati gani anakua katika Ulimwengu mbadala? Si jambo rahisi kufahamu, lakini Kuna wakati huyu mtu utakuta yupo katika Ulimwengu wa kawaida lakini wakati huo ana hitajika kuwa katika Ulimwengu mbadala. -

Hapo ndipo anapo geuka mbogo atafanya Fujo sana mwisho ana tulia na wakati mwingine Wana Poteza fahamu sasa hapo kuna uwezekano mkubwa wa kuwa tayari amesha rudi kwenye Ulimwengu mbadala na huu ndo muda pekee ambao uhai wake unaweza kutolewa ingawa wakati mwingine anakua bado katika Ulimwengu wa kawaida.
-

ITAENDELEA -

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages