PART 02: Makundi makubwa ya Siri.
ROSICRUCIANS.
Hili kundi (Organisation) lilianzishwa miaka ya 1614-1617, Nchi ujerumani. Historia ya hili kundi inasemekana, asili yake ni Misri ya kale , wazungu wali iga na kuchukua tamaduni hiyo kisha kuanzisha hili kundi.
Hili kundi, lili kuwa lina husisha sana Wanasayansi, Makuani na watu ambao walivutiwa na kundi.
Sasa baadae hawa Jamaa walianza kuingia deep na kuanza kujiusisha katika mambo ya Paganism, science na kiroho. yani walianza kuamini kwote kwote(shetwain na science)
Walianzisha, Order yao ambayo ilikuwa inasema " Kujenga imani thabiti kuhusiana na mambo ya kale" Walianza kuamini katika ulimwengu wa kawaida na ulimwengu wa vitu visivyo onekana.
Na katika imani yao wana hatua 54, ambayo iyo sasa ina usisha , vitu visivyo onekana katika ulimwengu wa kawaida, wao huita demgods(miungu). Unambiwa hawa jamaa ni noma sana, kwasababu wana uwezo wa hali ya juu, na wana amini wao ndo wanasayansi wa kwanza na wachawi wa mwisho, yan hatakuja kutokea mchawi zaidi yao, haya yali semwa na michael maier mmoja wa member.
Hawa ni zaidi ya vikundi vyote, freemason na illuminat wana wa heshimu sana hawa na hata baadhi ya alama na hata mambo mengi wame iga kwa hawa jamaa, kiasi kwamba wana waogopa na hata katika zile degree 33, za freemason, degree ya 16 , inaitwa the knight of the Rose crorx.
Yan iyo ni level ya chini ya rosicrusian, na maanisha mtu mwenye degree 16, katika freemason, yan huyo ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana, lakini akija kwenye kundi la rosicrusian, anakuwa ni mtu mdogo sana yan mwenye level ya chini.
Inavyo semekana hawa wana uwezo wakuishi maisha ya kawaida na ya ulimwengu usio onekana,ambao kwao mtu wa aina hiyo wana mwita Avatar, mfano , ni ile movie ya avatar ya james cameroon, wametoa mfano wa maisha ya hawa jamaa .(invisible govement). Hawa , wana uwezo wa kuongea na Mashetani, mfano katika level zao , wana husisha level za kuongea na malaika , ambapo wana husishwa kuwa ni wale malaika walio tupwa Mbinguni. wana husiswa na Azazel ambae ndie anae wapa akili na teknolojia.
Wapo watafiti wanao amini hili kundi, ndio order ya juu kabisa kwa wale wa mlengwa wa kushoto(shetani). ✨✨ITAENDELEA✨

No comments:
Post a Comment