JOYCE VICENT.Alizaliwa october 19 mwaka 1965 alikua ni mbritishi. Mdada huyu alifariki akiwa ndan ya chumba amekaa na tv ikiwa on kwa mda wa miaka mi3 bila Watu kugundua lolote. Kabla ya kifo mwanadada huyu alikata mawasiliano karib watu wote na familia kwa ujumla.
Mwaka 2001 aliacha kaz na kwenda sehem moja ivi inayohusika na wat wanaonyanyasika majumbani (Domestic Abuse) maana ilidaiwa alikua akipata manyanyaso katika sehem alikokua akifanyia kaz kama secretary.December 2003 mwanadada huyu aliaga dunia akiwa kakaa katika kochi ndan kwake huku akiangalia Tv na Hakuna mtu hata mmoja aliyefaham kinachoendelea na kwa mda wote huo mpaka january 25, 2006 walipokuta mabaki ya mwili wa joyce(fuvu) huku Tv ikiwa inaendelea kuonesha hiyo ni baada ya polisi kuvunja na kuingia ndani ya chumba hicho.
Chanzo cha kifo inatajwa kuwa pumu aliyokua nayo au madonda ya tumbo maana kuna wakati alilazwa hospital baada ya kutapika damu.
Majiran wanadai kutofaam kwao kunahusiana na kuwepo kwa madumu ya taka eneo hilo na kuhus kutosikia kelele za Tv inadaiwa kua wat weny walioathirika na madawa walikua wakitembelea sana eneo hilo.
Waweza tafuta Movie moja inaitwa DREAMS OF A LIFE ya mwaka 2011 ukacheki story ya bibie Huyo.

No comments:
Post a Comment