PART 3: MAKUNDI YA SIRI DUNIANI.
FREEMASON :hawa hufahamika kama ni wajenzi huru,na hawa inasemekana wamekuwepo toka miaka mingi iliyo pita kabla hata ya yesu kuja kipindi cha enzi za mnala wa babeli,kutokana na sababu fulani hili kundi lili vunjika na kusambaa sehemu tofauti tofauti hapa duniani na kipindi hicho hichi kikundi kili kuwa kina jishughurisha na ufundi uwashi na watu wake walikuwa ni mafundi wahali ya juu kutokana na akili nyingi walizokuwa wakitumia katika ujenzi ndomana mpaka leo alama zao ni vifaa vya ujenzi.
Hili ni kundi ambalo lina wafuasi wengi kuliko makundi yote ya siri, inakadiliwa kuwa na wana chama hai, 600,000 , Duniani, hii ni kwasababu wao freemason wame jiweka hadharani tofauti na makundi mengine ya siri.
Ilikujiunga na freemason ina hitaji mtu , mwenye Imani yoyote ya Mungu, au mungu.
Freemason, asili yake ni Misri, katika historia ya misri ya kale ,na baada ya miaka, kuanzia miaka ya 894, tamaduni hii ili anzishwa Uingereza wakati wa utawala wa Kingi Athelstan.
Freemason, wanafanya makutano yao katika , majumba ambayo wao wana ya ita lodge na kupanga mipango yao inayo husiana na chama hicho.
Lodge ya kwanza, ili anzishwa na James anderson, huko uingereza , iliyo itwa Grand lodge of England.
Freemason, ilianza kuwepo adharani na kuwavutia watu, kuanzia miaka ya 1717 , nchini uingereza baada ya kuchukua baadhi ya mbinu kutoka kwa Rosicrucian.
Kwa ujumla Freemason, Wana Degree/hatua kuu 3, na hizi zina tofautiana kutokana na ukubwa wa kila Degree/hatua , ambayo mwanachama anapitia ,na hizi degree sio kwamba inakuhitaji uingie darasani ili kuzipata hapana , hizo zimewekwa kwa mfumo ambao chama kimejiwekea.
Katika hizo degree tatu, Degree/ hatua ya 1 inaitwa, APPRENTICESHIP( hii ina husisha wale wanachama wa chini , na wengi wapo hatua hii. mwanachama huyu, yeye yupo tu lakini hajui ukweli halisi wa chama hichi, hawa wengi wapo kwa ajili ya mafanikio tu..kwa ufupi huwa wanaitwa Trainner). Degree/hatua ya Pili, ina itwa JOURNEYMAN (hii inahusisha wale wanachama ambao , tayari wameshapata elimu na wanajua wapo katika freemason kwa lengo gani, hawa wanachama wapo wengi , na hawa ndio washawishi wakubwa katika .. ✨✨ITAENDELEA✨✨

No comments:
Post a Comment