Mvuvi wa Maajabu


Mtu mmoja alie kuwa akiitwa "Poon Lim", huyu alikuwa ni mfanya kazi wa meli ya uingereza iliyo kuwa ikiitwa Merchant ship SS.
Tarehe,23,mwezi wa 11, mwaka 1942, meli hiyo ilizamishwa na U-boat za kivita za Ujerumani, katika bahari ya pacific.
Baada ya meli kuzama poon lim, aliruka na kujitupa majini huku akiwa amevaa life jacket(boya), masaa kadhaa kupita, poon lim aliona box kubwa la kona nne lililotengenezwa kwa mbao mbele yake likielea majini.
Alilisogelea kisha akapanda juu yake,humo alikuta chakula kidogo na maji, aliliharibu lilebox kwa pembeni ili apunguze uzito.
Unambiwa hakupata msaada sehemu hiyo, na baada ya kile chakula kuisha kwa siku kadha, aliishi kwa kula wadudu, samaki wabichi na mizoga ya ndege wa majini.
Ilipo fika tarehe 5/4/1943, aliokolewa na mvuvi mmoja wa brazili kalibia na pwani ya brazili, akiwa salama..ndipo alipo ludishwa uingereza na kupewa tuzo ya "British Empire Medal", wakati wa vita ya pili ya dunia aliamia marekani na kuish huko.
lucamanaseMungu ni mwema

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages