Lion City ~mji uliozamishwa

LION CITY
Ni Katika Ziwa la Qiandao kwenye Jimbo la Zhejiang Nchini China Kuna Mji ulio Fahamika kama LION CITY jina lililo patikana kutoka kwa Five Lion Mountain Mlima ulio zama kwenye maji. -

LION CITY Ni Mji Ambao ulizamishwa kwenye maji na serikali ya China mnamo Mwaka 1959 Ulikua umejengwa Takribani Miaka 1000 hadi 1300 iliyopita, Mwaka 1959 mji huo ulio Fahamika Ulianza kutumika kutengeneza Hydroelectric Power, hicho ndicho kinacho tajwa lakini ina sadikika Kuna mengine mengi yanaendeshwa hapo ambayo yanabaki kuwa siri. -

Mji huo ambao Una kilomita za mraba 573 umezamishwa kwa mita 26 hadi 40 kutoka Juu ya usawa wa ziwa Quindao, Mji huo kwa sasa ume kuwa ni kivutio kikubwa sana cha watalii ndani ya nchi ya China. -

Watu wengi kutoka sehemu Mbali Mbali Za Dunia Wana Enda Kufanya ziara za kitalii Katika mji huo, Lakini Ina semekana kwenye mji huo Kuna baadhi ya majengo ambayo watu wanao enda Kutembelea huwa hawa ruhusiwi hata kuyasogelea kabisa yana maelfu ya Miaka hayaja wahi kufunguliwa. -

Licha ya kuwa kivutio kikubwa kwa watalii pia ina Tumiwa Na waigizaji Mbali Mbali wa movie hasa zile za Samaki Watu (MERMAIDS), Aidha Sehemu Hiyo Ina Tajwa kuhifadhi na kubeba siri na mali nyingi sana kuhusu Nchi Ya China ikiwemo vito vya Thamani, -

Pia Sehemu Hiyo Ina lindwa na Simba (Guardian Lions) hao simba Ni Sanamu tu ambazo zina patikana kila kona lakini ndio walinzi wenyewe wanao hakikisha mji huo Una bakia salama. -

MWISHO -

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages