Nchi inayoongoza kuwa na Matunda Makubwa Duniani!!


Nchini Alaska Mazao Huwa Makubwa Sana Kutokana na Kupata Jua Kwa Saa Ishirini Hivyo Kuipa Nafasi Photosynthesis Kufanyika Zaidii Hivo Mazao Kuwa Makubwa Makubwa . Kwahiiyo Unakuta Maboga Makubwaa matango Makuuubwa

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages