Orodha ya malaika waliotupwa kutoka mbingu, baada ya kumuasi Mungu.
LUCIFER/SATAN/IBILIS(shetani). Katika tamaduni ya Ruciferism, ambayo inahusisha dini kama Satanism, freemason, paganism and babylonian, wao wamemuelezea lucifer kama ni mungu, wa mwangaza(bear light) na sio devil(shetani), wana amini huyu ndie anae leta , mapinduzi kutoka kwa devil god..,enzi za mnala wa babeli (mfalme nimrod) , huyu alikuwa anaheshimiwa kama babylonian king.
Katika satanic bible,ya antony levey,huyu ametajwa kama ni mungu mwanga ambae anasimamia roho zote dunian.
Sasa, katika kazi za huyu apa duniani, huyu ana aminika kama fallen angel mwenye madhara sana katika wakati huu wasasa.
Kwanza kabisa huyu, yeye hakatai uwepo wa mungu, lakini huyu ndio anae husika katika kulaghai watu kupitia mgongo wa Mungu, huyu ndie anae wadanganya watu, kwa kuwafananisha na Mungu.
mfano, katika kipindi cha mnala wa babeli ,huyu ndie alie mdanganya Nimrod kuwa anauwezo kama wamungu, hivyo kumfanya nimrod ajenge ule mnala ili wamfikie mungu na kumuona.
Hapa duniani, huyu anamiliki dini nyingi sana, kupitia mgongo wa Mungu..Huyu ndie anae husika na manabii wa uwongo, ambao wanawadanganya watu kupitia mgongo wa Mungu, mfano kwa kutumia Neno la Mungu, lakini nyuma ya pazia wapo katika mlengwa wa huyo
Huyu ana walaghai watu, kwanza kwa kuwaaminisha Uwepo waMungu, kisha akisha waaminisha Uwepo wa Mungu, ndipo anapo wadanganya sasa, kua nao wanauwezo kama wa Mungu.
Mfano; katika dini(imani) zote za lucifer kama satan, freemason, paganism..ukitaka kujiunga, ili ukubaliwe lazima kwanza uwe na imani ya uwepo wa mungu, kwa maana ya kwamba lucifer hachukui mtu ambae hajitambui, kwasababu akimchukua huyo atakuwa hana hatia mbele za Mungu, lucifer sikuzote anamfuata mtu ambae anajitambua ili kusudi awe na hatia Mbele za Mungu..hata wachawi wanamfuata huyo, lakini hawa kosi kwenda sehemu za kuabudu.
Na huyu ndie fallen angel mwenye wafuasi wengi mpaka sasa apa duniani. ✨✨ITAENDELEA✨✨

No comments:
Post a Comment