PART 4; FALLEN ANGELS(Malaika waliotupwa toka mbingu)

Orodha ya malaika waliotupwa toka mbingu baada ya kuasi.
ABADDON/AHRMAN(Evili/devil);Maana ya huyu ni Malaika wa uharibifu(Fallen angel of destructive), au god of Evil darkness( mungu wa maovu) katika tamaduni ya persian mythology.
Baadhi ya vitabu kama ,book of enoch, kime muelezea kama abaddon, ni Fallen angel ambae alitupwa kitambo sana kabla ya wale fallen angle walio tamani wanawake kutupwa.
Baadhi ya tamaduni kama christian na jewish, wao wanasema huyu ni yule yule lucifer, yan hawana tofauti ni mmoja huyo huyo..lakini ukiangalia katika bibilia agano jipya , ufunuo 12;9, imetaja ibilis na shetan..ambapo baadhi ya tamaduni wana sema Ibilis ni lucifer na shetani ni Ahriman.
Sasa katika kazi za huyu hapa dunia..huyu anaaminika nae ni mmoja kati ya fallen Angel wenye nguvu sana apa duniani kwa sasa ukimtoa lucifer.
Huyu ndie fallen angel, muovu kuliko wote, huyu ndie anae wadanganya watu wamkatae Mungu, kwa kuwaaminisha kuwa hakuna Mungu, huyu ndie anaewafundisha Binadamu wapigane vita, kwa kuwapandikizia chuki, Huyu ndie anae husika katika vifo vingi kupitia ajari, vita n.k.
Huyu ndie anae husika na uletaji, wa magonjwa ya siyo na kinga kama ukimwi, cancer na Ebola.
Matukio yote ya kinyama/ uovu yana sababishwa na huyu..mfano utengenezwaji wa viumbe vya ajabu na huyu anamkataa Mungu , hata anapokujia kukudanganya haji kwa njia ya Mungu.. Huyu nae anajulikana kama fallen Angel mwenye wafuasi wengi , Baada ya Lucifer/ibilisi japo tamaduni nyingi zinasema huyu na Lucifer hakuna utofauti ni mmoja.
SORATH; Huyu katika fallen angel, wote hujulikana kama ndio mwenye nguvu kuliko wote, maarufu kama 666 katika tamaduni ya christian (mpinga kristo), au MASIHDAJHAL katika uislam japo katika uislamu wao hawa mtaji huyu kama malaika.
Yan tunapo ongelea 666 ni huyu, na huyu nguvu zake bado hazija dhihilika duniani, mpaka apo atapo kuja sasa kujidhihilisha , malaika wa baya wote walio tupwa ikiwemo AZazel, Lucifer, semyaza, Ahriman n.k hawa wote wana fanya kazi saiz hapa dunian, kwa kumuandaa huyu atakapo kuja kama ilivyo tabiliwa.
Tunapo ongelea NEW WORLD ORDER( utawala mmoja wa dunia).. ITAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages