(Malaika waliotupwa toka mbingu)
Orodha ya malaika walio tupwa toka mbingu , baada ya kumuasi Mungu.
SAMYAZA/SHEMYAZA; Maana yake ni "The reader of sons of God"( Kiongozi wa wana wa Mungu) huyu ni kiongozi na ni mmoja katika kundi lile la malaika ambao walimuasi mungu, kwa kuwatamani wana wake ,huyu ndie alie washauri wenzake Azael,Azazel,na wengine wafanye kitendo hicho.mwanzo (6;1-4), katika bibilia, ambapo walisababisha wanawake hao kuzaa viumbe vikubwa(wanefili). Katika kitabu cha Enoch, kimeeleza msingi wa kuhusu huyu shemyaza( Enoch 6;3-5, 10:9,10;11-12). Ambapo kimeeleza baada ya semyaza na wenzake kufanya uchafu huo,Mungu alimtuma archangel Gabriel, aka halibu kizazi cha wale wanefili, baada ya kusababisha wapigane wao kwa wao, kisha tena Mungu akamtuma archangel Mikael ,aende aka mkandamize na kumtupa Semyaza huko mlimani na kumwambia ata fungiwa huko mpaka siku ya hukumu itakapo fika.
LUCIFER/SATAN/IBILIS(shetani);Neno lucifer, ni neno la kigiriki ,lenye maana ya nyota ya asubuhi/sayari ya venus.
Katika historia ya tamaduni mbali mbali, mfano katika vitabu kama book of enoch, kimemtaja lucifer kama ni malaika aliye muasi Mungu, kitambo sana, kabla ya kizazi cha enoch, na badhi ya dini kama jewish, wao wame muelezea lucifer kama ni moja ya malaika ambao Mungu alipenda sana uumbaji wake na alimuumba katika uwezo wakipekee na Mungu alimpa mamlaka kama malaika mkuu, lakini baada ya kupewa hicho cheo, lucifer alijifananisha na Mungu, hivyo alitaka kumpindua , ndipo Mungu alipo mtupa.
Katika uislamu, huyu anajulikana kama ibilisi, japo katika uislamu , wao wanasema huyu hakuwa malaika , bali nijini ambae ali ishi mbinguni pamoja na malaika wa Mungu, na huyu katika uislamu , alitupwa na Mungu, baada ya kukataa kumuabudu binadamu yani Adamu na hawa.
Katika, ukristo, wao wanasema Lucifer alikuwa malaika wa Mungu, lakini baada ya kuasi na kutupwa , ndipo alipo badilika na kuitwa Satan/shetani, na huyu ndio alio ongoza vita Minguni baina ya malaika walio asi na malaika wa Mungu, ndipo walipo tupwa baada ya kushindwa vita na Archangel mikaeli(ufunuo 12;7-10)
Katika damaduni ya luciferism;
wao wana mtaja lucifer kam ✨ITAENDELEA✨

No comments:
Post a Comment