( Malaika walio tupwa toka Mbingu)
Fallen angel hawa ni wale malaika waliotupwa , toka mbingu, baada ya kwenda kinyume na Mungu..katika historia ya hawa Fallen angel, baadhi ya Vitabu vinasema walikuwepo 200, na baadhi vina sema ni zaidi ya 200.
Majina ya fallen angel, yametokana na historia, fulani kutoka kila tamaduni na sheria mbali mbali za miaka mingi iliyo pita.
Haya majina ya fallen angel ,yame orozeshwa kulingana na mtiririko wa elufi, maana na matumizi ya kila tamaduni kwa wakati huo, ikiwemo Babylonian, Assyria na Egypty, pamoja na dini kama Jewish, christian and Muslim kwa sheria.
Katika tofauti, malaika wazuri wote majina yao mwishoni yanaishia na el, ambayo ina maana God(Mungu) au Yah , yenye maana ya (Lord). Matumizi ya el, katika tamaduni ya Angelic, hii imekuwa ikimaanisha, Malaika wa Mungu, hivyo hata baadhi ya fallen angel nao wanaingia katika maana hiyo.
Fallen angel, wametajwa kwenye vitabu vingi vya ya Uumbaji, Kama Bibilia, book of jubelee, the rost paradise, na haswa katika kitabu cha Enoch(Book of enoch), ambacho hichi ndio msingi mkuu wa Fallen angle kutoka katika ethiopian orthodox church na Qumran the book of giant.
Katika Vitabu kama bibilia ,(Ufunuo 12;7-10, Isaya 14; 4-7) imeelezea hawa fallen angel, walitupwa mbinguni baada ya kupigana vita na kushindwa na Archangel Michael, baada ya kwenda kinyume na Mungu wao wakiongozwa na Lucifer, ndipo walipo tupwa duniani.
Orotha ya Fallen angel na maana ya kila mmoja na kazi zake.
AZAZEL; maana yake ni "God strength"(nguvu ya Mungu), huyu ni moja kati ya malaika ambao, walikuja duniani kisha waka watamani wanawake na kufanya nao mapenzi, ambao hujulikana kama "sons of God" (wana wa mungu) katika bibilia agano la kale mwanzo 6:2-4, pia ametajwa sana katika kitabu cha Book of enoch, na kazi za huyu malaika hapa dunian baada ya kutupwa, huyu ndie anae ufundisha ulimwengu, katika kutengeneza vitu katika high technology, mfano...ujenzi wa ndege, meli, internet system, magorofa, computer, vifaa vya vita n.k , kwa ujumla huyu ndie anae husika katika kumfundisha binadamu , Teknolojia. ✨✨ITAENDELEA✨✨✨

No comments:
Post a Comment