Nchini Ufaransa, ndani ya veende department..Kuna barabara moja yenye urefu /umbali wa kilometa 4.3, ambayo inapita pembezoni mwa bahari ya Atlantic coast.
Usicho kijua hii barabara ina pitika mara mbili kwa siku, kwasababu kuna kipindi inafunikwa na maji yanayo tokana na mawimbi na kuifanya barabara hiyo kupotea.
Maji hayo yana jaa na kusababisha barabara hiyo kuzama kwa kina cha feet/ futi 13...wenywe wani ita Death road..
Maji hayo yana jaa na kusababisha barabara hiyo kuzama kwa kina cha feet/ futi 13...wenywe wani ita Death road..

No comments:
Post a Comment