Nchini Guatemala, kuna kanuni/sheria , kwamba kila kaburi(cemetary), linalipiwa kodi na hiyo kodi ina lipwa na kila mwanafamilia endapo kama kuna kaburi la mwanafamilia mwenzao alie kufa.
Usichokijua ni kwamba katika kibindi hicho cha ukusanyaji wa kodi ya kila kaburi, ikitokea mtu mmoja katika familia hajalipa kodi ,wanacho kifanya wanaenda kufukua kaburi hilo na kutoa maiti hiyo kisha wanaenda kuiweka mlangoni mwa yule asiye lipa kodi..

No comments:
Post a Comment