Mwaka 1930, madaktari............

Mwaka 1930, madaktari wa wili wa physiologia walikuwa wanatafiti kama sokwe anaweza akaadopt tabia za binadamu hivyo, wali mchukua/ adopt, mtoto wa sokwe na kumlea kama mtoto wao kupitia mtoto mdogo wa dakatri mmoja.

Uyo mtoto, alikuwa anaishi na huyo mtoto wa sokwe, na mara nyingi alikuwa naye, walifanya hivi ili sokwe huyo azoee matendo ya kibinadamu kupitia mtoto huyo lakini cha ajabu baada ya miezi 9, wali acha utafiti huo na kumfukuza sokwe huyo kwasababu mtoto wao ndio alianza kuishi kama sokwe baada ya kujifunza matendo ya sokwe huyo...

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages