jiwe la 99942 Apophis(Coming 2029)

Kuna uwezekano 2.7% kuwa jiwe la 99942 Apophis lililopo angani litagongana na dunia Aprili 13 2029. Jiwe(asteroid) hilo lina uzito wa kilo bilioni 27.
Kama utakuwa Tanzania usiogope, mstari mwekundu pichani unaonesha maeneo ambayo jiwe hilo linaweza kuangukia. Litatengeneza kreta yenye kipenyo cha km 4.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages