GENIUS:Brendan Bremmer

Brendan Bremmer, wa Nebraska, US, alijua kusoma akiwa na miezi 18 kwa kujifunza yeye mwenyewe. Alianza chuo akiwa na miaka 11. Lengo lake likiwa ni kuja kuwa daktari wa usingizi (anesthesiologist). Alijiua mwaka 2005 akiwa na miaka 14 ili viungo vya mwili wake vitumike kuwekewa watu wenye uhitaji. Alikuwa mwanamuziki pia.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages