Mtandao wa instagram umepanga kuendesha operesheni ya kuondoa Likes, follows, na comments feki kwa watumiaji wao.
Watakaoathirika ni wale ambao wanatumia huduma toka application nyingine (third-party) ili kuwezeshwa kukuza kurasa zao, hii inavunja miongozo na sera za jamii yao.
Mtandao huo umesema umetengeneza mashine ambayo ina nguvu ya kuweza kutambua akaunti zote na kuondoa moja kwa moja kila kitu kisicho cha halali.
Mtandao wa instagram umepanga kuendesha operesheni ya kuondoa Likes, follows, na comments feki kwa watumiaji wao.
NEWS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment