Jamaa ina sadikika alikufa mara mbili

Huyu Ni Jamaa Kutoka India Jina Lake halisi Ni LAL BIHARI MRITAK Na kwa lugha yao ni लाल बिहारी "मृतक", -
Ali Zaliwa mwaka 1955, Alikua Raia Kutoka India, Mkoa wa Amilo, Wilaya ya Azamgarh Na kijiji cha Uttar Pradesh. Alikua Mkulima Mashuhuri sana. -
Huyu Jamaa ina sadikika alikufa mara mbili, ambapo Mara ya kwanza alikufa mwaka 1975 na kuzikwa huko kijijini kwao Uttar Pradesh, Lakini Siku chache baada ya mazishi yake alianza kuonekana mitaani akipiga misele. -
Ni kitendo kilicho washangaza wananchi wengi sana na wengi Wao walikuwa Wana muona kama Mzimu tu, -
Ili kuthibitisha kwamba bado anaishi aliamua kuwa mwana harakati wa kupambana na serikali ya India dhidi ya vitendo vya ukiukwaji wa demokrasia na Urasimu. -
Alianza kupata umaarufu kila kona nchini India na kupachikwa jina la Dead Man alifanya harakati hizo kwa takribani Miaka 19 kabla ya kufa tena mwaka 1994, lakini kabla ya kufa alianzisha asasi aliyoiita MRITAK SANGH THE UTTAR PRADESH ASSOCIATION OF DEAD PEOPLE kwaajili ya kusimamia watu walio kufa. -
Mara Baada ya kifo chake watu wengi wali amini atafufuka tena, wengi wali msubiria pembezoni mwa kaburi lake bila Mafanikio. -
Mnamo Mwaka 2003 ali shida Tuzo ya Ig Nobel Prize kama mtu Asiye wa kawaida.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages