Lina Marcela Medina de Jurado Alizaliwa Tarehe 23 Septemba 1933, Alikua Mwanamke Kutoka Nchini Peru. -
Huyu Ni Mwanamke wa kwanza Duniani katika historia Kupata Ujauzito Na Kuzaa Akiwa mdogo. -
Lina Medina Ali Pata Mimba akiwa na Miaka Minne Na Kuzaa Mtoto wake wa kwanza akiwa na Miaka 5 miezi 7 na siku 21. -
Mambo Yalikua Hivi, -
Mara Kadhaa Lina Alikua ana lalamika kuwa ana maumivu ya Tumbo, Na Tumbo Lake lilikuwa Lina kuwa siku baada ya siku. -
Wazazi Wake Moja Kwa Moja Walidhani Ana Tatizo La Tumor kutokana Na Jinsi Tumbo lake lilivyo kuwa Lina kuwa. -
Siku Moja ali pelekwa Hospitali Mara Baada Ya Daktari kufanya uchunguzi ali Gundua Lina Medina Tayari Alikua na ujauzito wa miezi 7. -
Dr Gerrado Lozada alianza kumchukulia uangalizi Lina Medina hadi pale alipo jifungua, Mara Baada Ya kujifungua Lina alitaka yule Mtoto abatizwe Jina la yule Daktari.
-
Yule Mtoto ali batizwa Gerrado Medina.
Lina Medina Ali sema hamfahamu Baba wa Mtoto huyo na hajawahi kufahamika.
Mwanamke wa kwanza Duniani katika historia Kupata Ujauzito Na Kuzaa Akiwa mdogo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment