Hii ni kitendo cha watu wawili, kuangaliana machoni , kwa ukalibu zaidi kwa lengo la kupata taarifa fulani kwa kila mmoja..Tamaduni hii ya Eye Gazing , ilikuwa inatumika sanaa kipindi cha zamani(Anciety time), ambapo walikuwa wanatumia utamaduni huu wa eyes gazingi, katika kujua mambo mbali mbali yanayo wazunguka katika maisha yao.
Eye gazing inaweza ikafanywa na watu wote wakaribu , mfano Ndugu, rafiki, wapenzi n.k.
Kwakipindi hicho cha kale Eye Gazing, ilikuwa inajulikana kama Mlango wa kiroho, ambapo mababu zetu walikuwa wanatumia mbinu hiyo ya kuangaliana macho kwa ukaribu, katika kuona mambo mengi ambayo hayapo katika ulimwengu wa kawaida kama viumbe visivyo onekana.
Pia eye gazing, nitendo la muhimu sana , katika maisha ya kale na ya sasa, kwakupitia hii mbinu, watu huitumia katika kumbukumbu ya jambo fulani, kujua uhalisia wa jambo fulan, na hata kuona yale mambo ya kale katika uhalisia wa picha..Mfano..wapenzi endapo wanahitaji kujikumbusha, nyakati nzuri zilizopita katika maisha yao ya zamani basi walikuwa wanafanya hivi ili kuona yote waliyo yafanya.
Mtafiti mmoja nchini Italy, jina Giovan caputo, alitafiti kuhusu jambo hili, na katika tafiti yake aligundua hili jambo linahitaji mtu mwenye kujiamini sana na, katika 100% ya watu ambao wanafanya mbinu hiyo.. 45%,, ya watu walilalamika kwamba waliona sura za watu tofauti , zilizo jitengeneza mochoni pao, 50% ya watu walisema waliona mionekano yao na mambo mengi ya kustahajabisha yanayo zunguka maisha yao, huku 15% ya watu wao wanasema hawakuona chochote(walishindwa). Hata ivyo, hii mbinu japo nirahisi lakini bado imekuwa ngumu sana kwa watu kuifanya , kwasababu asilimia kubwa ya watu, hawawezi kuangaliana usoni kwasababu ya aibu na uwoga.
Eye Gazing ,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment