HAMILTON HAWARD/ALBERT FISH.

HAMILTON HAWARD/ALBERT FISH.
Huyu alizaliwa mwaka 1870, May, tarehe19 na kufa mwaka 1936, January, tarehe 16, huko marekani Washington D.C.
Huyu alikuwa ni muuaji, mbakaji na mlaji(Cannibalist) wa watoto, na kwa kipindi chake chote alichofanya maovu inasemekana aliua na kula zaidi ya watoto 100.
Alikuwa anateka watoto, kisha ana wabaka na akisha maliza kuwabaka alikuwa ana wageuza kitoweo.
Malanying alikuwa akishtakiwa kwa makosa hayo, lakini aliachiliwa huru kwa kukosa ushaidi wa maovu hayo.
Mnamo mwaka 1934,alikamatwa baada ya kumu uwa mtoto alieitwa, Grace Budd na kumla kama kitoweo.
Ambapo baada ya kumuua na kumla mtoto huyo, Albert fish alimwandikia mama mzazi wa mtoto huyo barua kuwa asiangaike kumtafuta mtoto huyo, kwasababu tayari amesha mgeuza kitoweo na aliandika barua hiyo kwasababu katika maisha yake yote ya mauaji hakuwai kukutana na mtoto mzuri kama huyo.
katika nukuu ya barua hiyo, arbert fish alisema , alipotaka kumbaka mtoto huyo alikataa, ndipo alipo mdondosha na kumkata kichwa kisha kumbanika katika oven baada ya kumkata kata vizuri, na ilikuwa nyama tamu sana na kichwa cha mtoto huyo hakukila.
Baada yakutuma barua hiyo kwamama. mzazi, ndipo alipo kamatwa baada ya polisi kupata barua hiyo.
Albert fishi, alinyongwa katika Erectric chair( kiti cha umeme), Mwaka 1936, baada ya kukutwa na hatia.. Na siku aliyonyongwa ali ongea kwasauti na kusema..
"Alikuwa anapenda sana kuwaua watoto na kuwala nyama kwasababu walikuwa na radha /watamu sana".

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages