BARROW ALASKA.

Katika mji wa Alaska, kuna sehemu inayoitwa BARROW TOWN, ..nisehemu ambayo umekuwa ya maajabu na kuvutia watu wengi.
Usichokijua katika sehemu hiyo,JUA(SUN), likizama Mwezi wa 11, terehe18,19,20,21 au 22, halichomozi tena mpaka mwaka utakao fuata mwezi January tarehe 22 au 23 ndipo wanchi wa sehemu hiyo wanaliona tena jua likichomoza.
Hivyo kufanya sehemu hiyo, kuwa na giza nene au mwanga hafifu sana , kwa siku 57 mpaka 67.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages