Hadithi ya Kusadikika ya Enzi na Enzi kuhusu Mahakama ya Wanyama!!

Apo zamani kipindi cha Mideval era huko barani ulaya, kulikuwa na kanuni /sheria kwa wanyama, ambapo palikuwa na mahakama ya wanyama nao walikuwa wanashtakiwa kwa kunyongwa au kifungo endapo watakutwa na hatia wakifanya makosa.
Sasa, una ambiwa katika sheria hiyo, wanyama walio kuwa wanaongoza kwa kunyongwa au kufungwa gerezani ni PANYA,..kwanza walikuwa wanajulikana kama ni wezi na waharibifu.kitu ambacho kilisababisha magereza mengi kujaa panya.
Ilifika kipind , panya walizaliana wengi huko huko gerezani, kitu kilicho sababisha kufungwa kwa magereza hayo na kuitoa sheria hiyo.
Katika picha apo juu, ni nguruwe huyo akiingia kizimbani(Courtin), kwa ajiri ya kusomewa na kusikiliza mashtaka yake.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages