FALLEN ANGEL ( Malaika walio tupwa toka Mbingu)

FALLEN ANGEL ( Malaika walio tupwa toka Mbingu)
Fallen angel hawa ni wale malaika waliotupwa , toka mbingu, baada ya kwenda kinyume na Mungu..katika historia ya hawa Fallen angel, baadhi ya Vitabu vinasema walikuwepo 200, na baadhi vina sema ni zaidi ya 200.
Majina ya fallen angel, yametokana na historia, fulani kutoka kila tamaduni na sheria mbali mbali za miaka mingi iliyo pita.
Haya majina ya fallen angel ,yame orozeshwa kulingana na mtiririko wa elufi, maana na matumizi ya kila tamaduni kwa wakati huo, ikiwemo Babylonian, Assyria na Egypty, pamoja na dini kama Jewish, christian and Muslim kwa sheria.
Katika tofauti, malaika wazuri wote majina yao mwishoni yanaishia na el, ambayo ina maana God(Mungu) au Yah , yenye maana ya (Lord). Matumizi ya el, katika tamaduni ya Angelic, hii imekuwa ikimaanisha, Malaika wa Mungu, hivyo hata baadhi ya fallen angel nao wanaingia katika maana hiyo.
Fallen angel, wametajwa kwenye vitabu vingi vya ya Uumbaji, Kama Bibilia, book of jubelee, the rost paradise, na haswa katika kitabu cha Enoch(Book of enoch), ambacho hichi ndio msingi mkuu wa Fallen angle kutoka katika ethiopian orthodox church na Qumran the book of giant.
Katika Vitabu kama bibilia ,(Ufunuo 12;7-10, Isaya 14; 4-7) imeelezea hawa fallen angel, walitupwa mbinguni baada ya kupigana vita na kushindwa na Archangel Michael, baada ya kwenda kinyume na Mungu wao wakiongozwa na Lucifer, ndipo walipo tupwa duniani.
Orotha ya Fallen angel na maana ya kila mmoja na kazi zake.
AZAZEL; maana yake ni "God strength"(nguvu ya Mungu), huyu ni moja kati ya malaika ambao, walikuja duniani kisha waka watamani wanawake na kufanya nao mapenzi, ambao hujulikana kama "sons of God" (wana wa mungu) katika bibilia agano la kale mwanzo 6:2-4, pia ametajwa sana katika kitabu cha Book of enoch, na kazi za huyu malaika hapa dunian baada ya kutupwa, huyu ndie anae ufundisha ulimwengu, katika kutengeneza vitu katika high technology, mfano...ujenzi wa ndege, meli, internet system, magorofa, computer, vifaa vya vita n.k , kwa ujumla huyu ndie anae husika katika kumfundisha binadamu , Teknolojia.
SAMYAZA/SHEMYAZA; Maana yake ni "The reader of sons of God"( Kiongozi wa wana wa Mungu) huyu ni kiongozi na ni mmoja katika kundi lile la malaika ambao walimuasi mungu, kwa kuwatamani wana wake ,huyu ndie alie washauri wenzake Azael,Azazel,na wengine wafanye kitendo hicho.mwanzo (6;1-4), katika bibilia, ambapo walisababisha wanawake hao kuzaa viumbe vikubwa(wanefili). Katika kitabu cha Enoch, kimeeleza msingi wa kuhusu huyu shemyaza( Enoch 6;3-5, 10:9,10;11-12). Ambapo kimeeleza baada ya semyaza na wenzake kufanya uchafu huo,Mungu alimtuma archangel Gabriel, aka halibu kizazi cha wale wanefili, baada ya kusababisha wapigane wao kwa wao, kisha tena Mungu akamtuma archangel Mikael ,aende aka mkandamize na kumtupa Semyaza huko mlimani na kumwambia ata fungiwa huko mpaka siku ya hukumu itakapo fika.
LUCIFER/SATAN/IBILIS(shetani);Neno lucifer, ni neno la kigiriki ,lenye maana ya nyota ya asubuhi/sayari ya venus.
Katika historia ya tamaduni mbali mbali, mfano katika vitabu kama book of enoch, kimemtaja lucifer kama ni malaika aliye muasi Mungu, kitambo sana, kabla ya kizazi cha enoch, na badhi ya dini kama jewish, wao wame muelezea lucifer kama ni moja ya malaika ambao Mungu alipenda sana uumbaji wake na alimuumba katika uwezo wakipekee na Mungu alimpa mamlaka kama malaika mkuu, lakini baada ya kupewa hicho cheo, lucifer alijifananisha na Mungu, hivyo alitaka kumpindua , ndipo Mungu alipo mtupa.
Katika uislamu, huyu anajulikana kama ibilisi, japo katika uislamu , wao wanasema huyu hakuwa malaika , bali nijini ambae ali ishi mbinguni pamoja na malaika wa Mungu, na huyu katika uislamu , alitupwa na Mungu, baada ya kukataa kumuabudu binadamu yani Adamu na hawa.
Katika, ukristo, wao wanasema Lucifer alikuwa malaika wa Mungu, lakini baada ya kuasi na kutupwa , ndipo alipo badilika na kuitwa Satan/shetani, na huyu ndio alio ongoza vita Minguni baina ya malaika walio asi na malaika wa Mungu, ndipo walipo tupwa baada ya kushindwa vita na Archangel mikaeli(ufunuo 12;7-10)
ABADDON/AHRMAN(Evili/devil);Maana ya huyu ni Malaika wa uharibifu(Fallen angel of destructive), au god of Evil darkness( mungu wa maovu) katika tamaduni ya persian mythology.
Baadhi ya vitabu kama ,book of enoch, kime muelezea kama abaddon, ni Fallen angel ambae alitupwa kitambo sana kabla ya wale fallen angle walio tamani wanawake kutupwa.
Baadhi ya tamaduni kama christian na jewish, wao wanasema huyu ni yule yule lucifer, yan hawana tofauti ni mmoja huyo huyo..lakini ukiangalia katika bibilia agano jipya , ufunuo 12;9, imetaja ibilis na shetan..ambapo baadhi ya tamaduni wana sema Ibilis ni lucifer na shetani ni Ahriman.
Sasa katika kazi za huyu hapa dunia..huyu anaaminika nae ni mmoja kati ya fallen Angel wenye nguvu sana apa duniani kwa sasa ukimtoa lucifer.
Huyu ndie fallen angel, muovu kuliko wote, huyu ndie anae wadanganya watu wamkatae Mungu, kwa kuwaaminisha kuwa hakuna Mungu, huyu ndie anaewafundisha Binadamu wapigane vita, kwa kuwapandikizia chuki, Huyu ndie anae husika katika vifo vingi kupitia ajari, vita n.k.
Huyu ndie anae husika na uletaji, wa magonjwa ya siyo na kinga kama ukimwi, cancer na Ebola.
Matukio yote ya kinyama/ uovu yana sababishwa na huyu..mfano utengenezwaji wa viumbe vya ajabu na huyu anamkataa Mungu , hata anapokujia kukudanganya haji kwa njia ya Mungu.. Huyu nae anajulikana kama fallen Angel mwenye wafuasi wengi , Baada ya Lucifer/ibilisi japo tamaduni nyingi zinasema huyu na Lucifer hakuna utofauti ni mmoja.
SORATH; Huyu katika fallen angel, wote hujulikana kama ndio mwenye nguvu kuliko wote, maarufu kama 666 katika tamaduni ya christian (mpinga kristo), au MASIHDAJHAL katika uislam japo katika uislamu wao hawa mtaji huyu kama malaika.
Yan tunapo ongelea 666 ni huyu, na huyu nguvu zake bado hazija dhihilika duniani, mpaka apo atapo kuja sasa kujidhihilisha , malaika wa baya wote walio tupwa ikiwemo AZazel, Lucifer, semyaza, Ahriman n.k hawa wote wana fanya kazi saiz hapa dunian, kwa kumuandaa huyu atakapo kuja kama ilivyo tabiliwa.
Tunapo ongelea NEW WORLD ORDER( utawala mmoja wa dunia).. SORATH;Kama nilivyo ongelea kuhusu huyu fallen angel soroth, marufu kama 666.
Mambo yote mabaya yanayo fanyika hapa saizi Dunian ni kwa ajiri ya kumuandaa huyu 666, Tunapo ongelea Illuminat na mpango wao wa New Word order (NWO)/ utawala mmoja wa dunia ni kwamba tunamuongelea huyu.
Kuna baadhi ya tamaduni , wao wana amini huyu Sorath, na lucifer ni mmtu mmoja , pia kunavitabu kama bibilia , agano jipya kime tofautisha kati ya lucifer na 666.
Katika bibilia , imeeleza kama lucifer ndio mwenye nguvu zaidi, lakini punde atakapo kuja huyu sorath(666) lucifer na fallen angel wote wanye nguvu wata mkabithi nguvu zote huyu na kumfanya aketi katika kiti cha enzi cha mashetani , kilichokuwa kina kaliwa na lucifer.
Nukuu, katika bibilia, Ufunuo 13(1-18), inasema " Kisha nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi,na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru. Nayule mnyama nilie muona alikuwa mfano wa chui na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu,na kinywa chake kama kinywa cha simba .Yule joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi"
katika hiyo nukuu kutoka katika bibilia , tuna ona joka ambae ni lucifer/shetani, baada ya kuja 666 atampa nguvu zake na kitichake cha enzi naye atakuwa na uwezo mwingi.
Hiyo ni orodha fupi ya Fallen angel, ni meandika wale ambao wana madhara makubwa kwa sasa apa duniani , japo wapo wengi sana kama miambili hivi.
mfano, Naberius(huyu ni demon), amy(huyu anajulikana kama rais wa jehanamu/president of hell), Apollyon(huyu ni fallen angel wa kifo , maarufu kama Grim reaper/mkusanya roho za watu), lilith(huyu ni fallen angel kuna baadhi ya tamaduni zina sema huyu alikuwa mke wa kwanza wa adamu) n.k.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages