Maajabu ya Baiskeli ndani ya Mti

hii ni picha ya baiskeli iliyopo kwenye mti ambayo inapatikana katika kisiwa cha Vashan Island , washington Dc.
Katika historia, bado kuna mkanganyiko, wakujua ni nani haswa aliye iweka baiskeli hiyo apo.
Kunafamilia moja , inadai hiyo baiskeli iliachwa na mtoto wao, Don puz , mwaka 1914, wakati wa vita ya kwanza ya dunia, inasemekana alikuwa ameipack hiyo baiske na kuifunga kwa kutumia mnyororo, kisha ye mwenyewe kuelekea kwenye vita, na hakuludi tena, hivyo familia iliamua kuacha baiskeli hiyo hapo kama kumbukumbu.
Wapo watafiti wanao sema hiyo baiskeli , iliwekwa apo miaka 1950 , sio 1914 kama inavyo dai familia hiyo.
Baadhi ya watu wanasema hiyo baiskeli ili achwa apo na mkulima mmoja, alie kuwa na shamba maeneo hayo.
Kwasasa sehemu hiyo , imekuwa ni moja ya sehemu ya kivutio cha utalii.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages