BILOCATION -
Ni Uwezo wa Kuonekana Sehemu Mbili Tofauti Kwa Wakati Mmoja Hii Ni Zaidi Ya Astral Body Travel (ASTRAL PROJECTION)Ingawa zote Ni power of Mind pia ni Psychic Powers, Tofauti Ni Kwamba BILOCATION Miili Yako Yote Miwili Inakua Active. -
Hii Ni Nguvu Ya Fikra Haijalishi Upo Sehemu Gani Lakini Kila Unapo Waza Kwenda Sehemu Roho Yako ina vaa Astral body na kwenda huko huku ile Astral body ikiwa ina uwezo wa kufanya chochote na mwili unao bakia Una uwezo wa kufanya chochote. -
Kwa Tafiti Mbali Mbali Ambazo Zime fanyika Na Wanasayansi Wali shindwa kuielezea kisayansi hiyo ni nguvu ya aina gani na kuishia kusema Labla Ni Spirituaral Power. -
Aidha Tafiti hizo Zina sema Binadamu ambaye alikua na uwezo huo alikua Padre Pio kutoka Nchini Italia Ambaye Mara Kadhaa Alikua ana onekana sehemu Tofauti Hasa Wakati Akiwa kwenye Maombi. -
Ukichaa Padre Pio Kuna Wengine Ambao ina semekana walikua na uwezo huo, Mtu Kama Saint Aflonso Ingawa hakuna ushahidi Katika hilo.
-
Kuna Wanao Jaribu Kuifananisha BILOCATION na DOPPELGÄNGER lakini ukweli Ni kwamba Kuna Tofauti Kubwa Sana, DOPPELGÄNGER Ni kitu cha Kushangaza Zaidi. -
Makala Inayo Fuata Nita zungumzuia Kuhusu DOPPELGÄNGER Na Maajabu Yake. -
BILOCATION pia ina fananishwa Na Auto Astral Travel, Auto Astral Travel Ina tokea au Ni Matokeo ya mtu kufanya Astral Travel Mara Nyingi inafika kipindi Una kuwa Addicted Na Astral Travel. -
Utakua Labla Mtu Upo Njiani Una Tembea Ghafla Ume Kumbuka Kwamba Ume Sahau Simu Nyumbani kwako Sasa Kitendo cha kuwaza tu ume sahau simu ghafla Una jikuta upo kule ulipo sahau simu unavyo fika Kushituka Una uona mwili wako ume jilaza pale ambapo ulikua mara ya kwanza Kabla mawazo yako hayaja kupeleka kule ulipo sahau simu. -
Sasa Hii Ni mbaya sana kwasababu ule mwili unao bakia Una kuwa Haupo active Ni kama mzoga tu, Sasa kwa mfano upo katikati ya barabara ina kutokea hivyo ina kuaje? -
Sasa Hiyo ndio Tofauti Kati Ya Bilocation na Auto Astral Travel, Katika Maana Bilocation Miili Yote Miwili Inakua Active.
BILOCATION
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment