Bwana Axe Man Aliendelea kuandika.... Kama mnapenda mnaweza mkawaambia polisi wawe makini wasiniudhi ila sidhani kama nina haja ya kuwaonya, naamini kabisa polisi watanikwepa kama walivyonikwepa huko nyuma. Wana hekima na wanajua namna gani ya kukaa mbali na madhara.
-
Pasipo mashaka, nyie watu Orleans mnadhani mimi ni muuaji katili, ambalo kiuhalisia ni kweli, lakini naweza kuwa zaidi ya hapo nikiamua. Kama nikipenda naweza kuwatembelea kila usiku, nikachinja raia bora kwasababu nina mahusiano ya karibu na malaika wa kifo.
-
Sasa basi kuwa wazi, saa sita na robo usiku (muda wa dunia) Jumanne ijayo (March 19, 1919), nitakatiza jiji la New Orleans. Kwa huruma yangu ndogo, nitawahitaji mfanye jambo fulani dogo. Hili hapa -
Mimi ni mpenzi sana wa muziki wa Jazz, na ninaapa kwa mashetani wote wa maeneo haya, yeyote yule atapona endapo atapiga muziki wa jazz kwa muda ambao nimeutaja.
-
Kama kila mtu ana bendi ya Jazz, ni sawa, basi ni bora kwake. Lakini jambo moja ambalo la uhakika ni kwamba baadhi yenu ambao amtakuwa na hamu ya jazz siku ya Jumanne usiku, atapata shoka.
Ali Malizia kusema "Nimekuwa na nitakuwa roho mbaya kabisa kuwahi kutokea" -
Kwahiyo kwa mujibu wa muuaji, mtu yeyote ambaye atakuwa hasikilizi Jazz, March 19, atakumbana na shoka.
Barua hii ikachapishwa kwenye gazeti na kusambaa. Na kweli, siku ya tarehe 19 March, muziki wa Jazz ukateka jiji la New Orleans. Kuanzia majumbani, katikati ya jiji, kumbi za starehe, kote huko muziki ukawa ni mmoja tu "Jazz"
Na hakuna aliyekufa
-
Kwa majuma kadhaa kukawa kimya na salama, lakini bado watu waliishi kwa hofu.
Baadae Axe Man Ali Rudi Tena safari hii alikua haui bali alikua ana jeruhi tu, Ali wakataka kata watu viungo vya miili yao pasipo kuwa ua.
Mwisho akapotea na haku onekana tena na Haijulikani Bwana AXE MAN alipatwa na nini! -
Kama Uli haufaham Asilimia kubwa Ya Movie zinazo tengenezwa Ni Matukio Yaliyo wahi kutokea.
Kaangalie hizi movies kwa umakini Predator (1987), Ghost ship (2002), The Nightmare On Elm Street (1984), Uta Jifunza Kitu. -
MWISHO -

No comments:
Post a Comment