Triangle Bermuda (02)

TRIANGLE BERMUDA - 2
-

Maajabu makubwa ambayo tunayaongelea, Kwanza ni kupotea kwa ndege nyingi ambazo zimepita katika anga la eneo hilo pili ni kupotea kwa meli nyingi zinazopita katika eneo hilo. 
kubwa zaidi ni kutopatikana kwa taarifa yoyote kuhusu mahali ambapo meli na ndege hizo huelekea baada ya kupotea.
-

Swali kubwa linalozuka ni Je ninini chanzo kikubwa cha kupotea kwa vyombo hivyo? kwa miaka mingi iliyopita chanzo chake hakikujulikana, -

lakini katika uchunguzi uliofanywa hivi karibuni na kituo kikubwa ulimwenguni cha uchunguzi wa anga NASA, inahisiwa kuwa eneo hilo limezungukwa na nguvu za usumaku zinazofanya kutokea kwa nguvu kubwa ya uvutano inayovuta kitu chochote kinacho patikana eneo hilo au katika anga la eneo hilo. -

Kwanini Kuna Nguvu ya Samaki? ikumbukwe eneo hilo Kuna patikana visiwa ambayo vina karibiana hali ambayo ina fanya zile Plate baina ya visiwa hivyo kuvutana. -

Hoja Nyingine Ambayo ina ipa nguvu kwanza tukumbuke hapo ndio inapo kadiriwa kuzama kwa lile bara la Atlantis ambalo lilikuwa na technolojia kubwa sana, hivyo Ina wezekana mabaki ya teknolojia zile Ni Moja kati ya vitu vinavyo sababisha mvutano. -

Pia eneo hilo Lina hisiwa kuna kemikali ya METHANE iliyo yeyuka na kuchangamana na maji hayo jambo linalofanya maji ya eneo hilo kutokuwa na uwezo wa kuhimili uzito wa meli katika eneo hilo. -

Eneo hili wameliita pembe tatu ya shetani au mlango wa kuzimu kuna nini hapa panapo pelekea hadi meli na ndege kubwa kuzama na zaidi zikizama hazijulikani zinaenda wapi,

Taarifa za watu wanao Pona kutoka kwenye ajari hizo kuwa vichaa zina husisha ALIENS kupatikana eneo hilo sababu wao wana teknolojia isiyo weza kushinda nishwa na technolojia ya Binadamu wa kawaida. -

Wajuzi wa mambo Wana Fikiri labla Kuna Siri zipo eneo hilo kiasi cha watu wanao Pona uharibiwa akili na ufahamu wao ili wasiweze kuongea chochote walicho kiona eneo hilo -

Moja Kata Ya Mipango Mikubwa Ya Illuminati Ni Kuli rudisha bara la Atlantis hivyo ina elezwa inawezekana Kuna Ulinzi Mkali ume wekwa ili kusiwe na yeyote anaye weza kuingiliana Mipango yao katika eneo hilo. -

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages