huyu mwamba anaitwa "JOSEPH JONS" marufu kama bushranger. 👉Alizaliwa 1826 huko cornwall UK na kufa august 13 1900 ,ni mtoto wa sita katika familia ya blacksmith...alizaliwa katika familia ya kimaskini sana ..baada ya kuwa mkubwa aliamia nchini wales huko alikuwa akichimba madini lakin badae aliacha hiyo kazi na kuanza kufanya uhalifu kama kukaba na alikuwa akitumia weledi sana katika kazi yake ya uhalifu/wiziwizi. 👉Joseph ali kamatwa kwa mara ya kwanza kisha kupelekwa kifungon katika geleza la millbank prison lakin haikupita siku akatoroka..kisha aliendelea na kazi yake ya uhalifu ndipo mwaka 1865 alipo kamatwa pia na kupelekwa katika gereza lingine lakin haikupita siku akatoroka tena..aliendelea kufanya kazi yake hiyo pia alipo kamatwa alikuwa anafanyikisha kutoroka gerezan ...mwaka 1867 ali kamatwa kwa makosa ya mauaji ndipo mfalme ali toa amri kuwa atengenezewe chumba chake special ambacho hakita kuwa rahisi kutoroka na unambiwa hicho chumba kilikuwa ni chuma tu pande zote kisha mfalme aka muahidi The bushranger Joseph jons kama ata weza kutoroka tena mule ata muachia huru...kilicho tokea uyo mwamba bushranger john alitoroka tena gerezan ..ndipo mfalme alipo amua kumwachia huru JOHN JOSEPH na kuamuru asikamatwe tena....anajulikana kama bingwa wa kutoroka gerezan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment