Kampuni ya CSC Jinling ya China inatengeneza meli, Titanic II itakayokuwa na muonekano sawa na Meli ya Titanic iliyozama mwaka 1912. Gharama za ujenzi zinakadiriwa kuwa TZS trilioni 1, itabeba abiria 2,435 na itafanya safari zake kama Titanic iliyozama. Ujenzi utakamilika 2022.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment