Marubani wa Kamikaze!!

Kamikaze maana yake pendwa, Lilikuwa ni jina walilopewa Marubani wa Kivita wa Japan Ambao Walikuwa Wakijiua Kwa kwenda Kujiangusha Katika Tageti halisi. Walikuwa wakibeba mabomu katika ndege zao na kisha kwenda kujiangusha katika Eneo husika ambapo mlipuko mkubwa ulikua ukitokea. Unaambiwa zaidi ya Marubani 3,800 walikufa huku wakiua watu 7,000.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages