Sayari yenye joto zaidi kwenye mfumo wetu wa jua??

Licha ya kuwa sayari ya Mercury ipo karibu na Jua, Venus ambayo ni ya pili kuwa karibu na jua Ndio yenye Joto zaidi kuzidi Sayari zote katika mfumo wetu wa Jua. Sababu ni Venus Anga Lake Lina Hewa Nyingi Ya Carbon Dioxide Ambayo Hutunza Joto. Joto hufikia Centigrade 465.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages