Mambo ya kustaajabisha kati ya Raisi Abraham Lincoln na John F Kennedy

Abraham Lincoln Alichaguliwa Katika Bunge la Congress Mwaka 1846, John F Kennedy Yeye Mwaka 1946. Lincoln alikua Rais mwaka 1860, Kennedy Yeye 1960. Wote Waliuwawa Siku ya Ijumaa na Kila Mmoja Alikua Karibu na Mke wake Kipindi Tukio Hilo Linatokea. Wote pia Waliochukua nafasi zao Walikua Ni Makamu Wa Rais Ambao Majina Yao Yaliishia Na Johnson. Kwa Lincoln, Makamu Wa Rais Andrew Johnson Alizaliwa Mwaka 1808 Na Upande Wa Kenedy Alizaliwa Mwaka 1908.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages